Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,138
Baada ya zoezi la kutaka kuuza jengo la ATCL akisshirikiana na Mwenyekiti wa Cotwu taifa
CEO wa ATCL Mpaka mh waziri akafikia kuchukua hati za jengo,Mh d mattaka sasa amekuja na njia nyingine kwa kumkodishia mkewe sehemu ya ofisi za ndan za ATCL ambayo mpaka jana ilikuwa ikitumiwa na telephone operator.
Hivi sasa ninavyoongea tukiwa na huzuni tunaomba waandishiwa habari mje hapa jengo la ATCL
Kuona ujenzi unavyoendelea kwa haraka..habari zaidi zinasema swala hili la mkewe alilipeleka
kwenye vikao vya chama cha wafanyakazi kuomba nafasi hapo ndani na bada ya kumkatalia
akaamua kumtumia dada mmoja anaejiita kama Meneja mauzo akiwa hana sifa halisi ya cheo hicho
Ikumbukwe meneja huyo huyo ndie aliearibu ATCL akiwa kama meneja wa ATCL comoro ambapo mpaka leo hii tunaongea ATCL inadaiwa zaidi ya million 175 kutoka serikali ya comorro na baadhi ya wafanyabiashara..na hili lilipelekea ,mmoja wa mwanae aliekuwa akifanya biashara comoro kupigwa marufuku kuingia comoro kutokana na biashara haramu iliokuwa ikiendelea
Hakika sasa naona Mkurugenzi ameamua Kuondoaka na Jengo alisema mmoja wa wafanyakazi kwa uchungu mkubwa..Habari zaidi zinasema aliekuwa akifanya kazi kama operation operator amehamishiwa juu kwa muda akitafutiwa nafasi ya kukaa huku ofisi yake ikitayarishwa kwa ajili ya BUREAU DE CHANGE ya mama Mattaka
WAZIRI HUSIKA,Ofisi ya Raisi inayoshugulikia mali za umma nafikiri umefika wakati sasa kuanza kuwa sirias na Mali za watanzania bila kujali urafiki ushoga baina yenu..Huu ni utapeli aiwezekani ukamwondoa mtu na kumweka kujiwekea ofisi yako binafsi ndani ya kampuni..hali ukijua iko kwenye mchakato wa kutafuta mbia...Habari zaidi zinasema mkataba umeshaandikwa na ni wa miaka 5..na tayari mmoja wa Mameneja anajiita Meneja Mauzo amewatangazia watu hata mwende wapi hiyo BUREAU DE CHANGE Itafunguliwa na mwenye kupiga kelele ataondoka yeye kabla ya wao kuondolewa
Kwa maneno haya sidhana kama anastahili hata cheo cha usecretary kwa ujumla...Kwanza nafikiri ifike wakati serikali ianze kufwatilia swala la Elimu kwa viongozi wa shirika hili ikiwemo watu kama hawa wanaochangia kuua kampuni kwa kujilimbikizia hela za ATCL mpaka kufikia kujenga ma super market yasiyo na idadi na kujisifia akuna mwenye uwezo wa kuwaondoa ATCL
Mh Waziri tunaomba uingilie kati else tutaandamana mpaka mwisho kujua swala hili la kuagaiana Jengo lianaendaje..ikumbukwe n mkurugenzi huyuhuyu alipoingia akaambiwa Gorofa ya kwanza na ya tatu aina wapangaji kabisa na ni rasilimali tosha kuwekeza kwa nini tusitafute watu na kurekebisha zile ofisi akiwa na maneno matamu akaksema nipen muda sasa anastaafu mwezi wa tano kwa msiojua hili ameamua kuuza jengo..kana kwamba aitoshi aanaesimamia jengo la ATCL ni shemejie ambaye yeye ndie mwenye mamlaka ya kukubali kutumika ama lah..kwa kweli undugu na urafiki utamuumiza rais kikwete mpaka kaburini kwake
Ukweli binafisi ningependa ifanyike auditing ya hali ya juu pale ATCL..Kuna uchafu mwingi sana sana unaendelea na watu wamejiamulia kuiba kwa njia mbali mbali huku wakijihakikishia akuna atakaewagussa
imefika wakati sasa tuseme imetosha na wenye makosa si wawajibishwe tu waende ndani kwa uchafu waliofanya
Ndugu watanzania..pemben ya ofisi za ATCL kuna Hotel ya CITY GARDEN pale ndani yule msomali amepewa mkataba wa miaka kumi haina hata miwezi miwili ..na huku baadhi ya mameneja wa atcl wakila bure just kwa kusaini ..hili ni swala la aibu sana sana..ikumbukwe viongozi wa vyama vya wafanyakazi walilia sana kuomba upuuzi huu wa kumpa mmiliki miaka 10 usifanyike leo hii ..watu engine wakiamka kuelekea ofisini na kuanza kufikiria folen za magari na mchana aka lunch tym watakula wapi ..kuna wapuuzi wachache wanatembelea VOG/RANGE/VX Na kuhakikishiwa lunch ya bure pale CITY GARDEN
Mh waziri wakati umefika VIONGOZI WASIO WAADILIFU WAHUKUMIWE MAHAKAMANI NA SI KUACHISHWA TU HII AINA MAANA ...NASEMA HIVI KWA KUMAANISHA KAMA MTU ANAIBA MAMILION NA KUACHIWA AENDE NYUMBANAI HUKO SERIKALINI SI NDIO BALAA MH NUNDU