Matrekta haya ni kwa ajili ya nini? Mbona msimu huu wa kilimo nayo yananyeshewa na mvua bila kazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matrekta haya ni kwa ajili ya nini? Mbona msimu huu wa kilimo nayo yananyeshewa na mvua bila kazi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Jan 15, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Awali wakati matrekta haya yakiletwa kwa mbwembwe tuliambiwa ni kwa ajili ya KILIMO KWANZA. Tukategemea msimu huu wa kilimo wakulima watanufaika kwa kukopeshwa zana hizo muhimu kwa ajili ya kujikwamua ki uchumi. Sasa cha ajabu, mpaka sasa matrekta haya yamekuwa mfano wa maonyesho huria, mwishowe naona nyuki wanaweza kuyageuza mizinga na kufanya maskani yao. Manaake kila nikisafiri kuja Dodoma kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitano nayakuta yako pale pale. Tena kando kando ya barabara iendayo Dar. Kwa yeyote anayefahamu kazi ya haya matrekta hebu atufumbue macho. Kwani msimu wa kilimo ndiyo huu sasa nayo yanazidi kunyeshewa na mvua bila ya kazi. Au yameletwa kwa ajili ya kazi nyingine badala ya kilimo?
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sasa kama mkuu wa kaya kakazania kujipaka poda yenyewe yafanyeje
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Baada ya msiba nitakujibu kila kitu!.
   
 4. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Biashara ya watu hiyo mkuu. Hakuna cha "kilimo kwanza". Kilimo kwanza ilikuwa ni daganya toto. Yachungulie vizuri hayo matrekta KUTU inayashambula kishenzi sna.
   
 5. w

  white wizard JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  wanunuaji kila leo wananyang'anywa ardhi,watayatumia kulimia kwenye lami?tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
   
 6. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  miradi ya wakubwa, siku zote haina hasara kwani fedha za ununuzi wake zimetoka ktk mfuko wa pembejeo, na moja ya masharti ya kukopa lazima upeleke hati ya nyumba + deposit ya 12m/ + andiko mradi + udhaminiwe na bibi/babu mzaa bibi/babu yako. Mimi nimehitaji kupata trecta hilo, na nimefuatilia kwa karibu sana lakini baada ya kuangalia terms zake nimeona haziendi sambasamba na kauli mbiu ya kilimo kwanza, haswa ukizingatia sharti la mwisho la mzamini, na uwe na shamba la ekari 50. Na huyo bibi ni kama mzamini ni rushwa.
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ntashukuru mkuu, maana naona wakulima wa Kibaigwa, Kiteto wanapita pale kila siku na kuishia kutamani tu.
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  yako show room yanasubiri yapelekwe kwenye maonyesho ya nane nane
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pia ikiiwezekana kama kuna tajiri yeyote ambae utajiri wake umetokana na kilimo hapa tz embu ajitokeze pls kwani mpaka sasasiamini na sidhani kama itajatokea
   
 10. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
Loading...