Matractor kutoka ulaya

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
icon1.gif

Ndugu zangu kuna matractor yanauzwa kwa ajili ya kilimo kutoka uingereza yapo katika hali nzuri kabisa na bei poa, kama tunavyojua hakuna ushuru bandari kutoa vifaa vya kilimo kama tractors kwa ajili ya KILIMO KWANZA!. kama kuna mtu anahitaji basi tuwasiliane kupitia no.+447818716685

See pics of the tractors attached!

Asanteni!
 
Ukihitaji Matractor aina ya Massey Fergusson 590 au aina nyingine kutoka Uingereza, yenye hali nzuri na kwa bei nafuu nipigie au tuma sms kwenda 0757420211. Yapo Dar es Salaam....iwapo upo mikoani msaada wa kuyafikisha ulipo (baada ya manunuzi) unapatikana.

Wenu Mtiifu.

Phares.
 
icon1.gif
Ndugu zangu kuna matractor yanauzwa kwa ajili ya kilimo kutoka uingereza yapo katika hali nzuri kabisa na bei poa, kama tunavyojua hakuna ushuru bandari kutoa vifaa vya kilimo kama tractors kwa ajili ya KILIMO KWANZA!. kama kuna mtu anahitaji basi tuwasiliane kupitia no.+447818716685

See pics of the tractors attached!

Asanteni!
i need one lakini iwe dar sio ya kuagiza nje
 
Usiogope MTM matractor kutoka ulaya ni imara zaidi na hayajapata shuruba nyingi, alafu hakuna ushuru kuingiza bandarini, kama upo serious niambie nikuandalie tractor nzuri
its the matter of time, i can wait anymore i need ex-dar stock
 
icon1.gif
Ndugu zangu kuna matractor yanauzwa kwa ajili ya kilimo kutoka uingereza yapo katika hali nzuri kabisa na bei poa, kama tunavyojua hakuna ushuru bandari kutoa vifaa vya kilimo kama tractors kwa ajili ya KILIMO KWANZA!. kama kuna mtu anahitaji basi tuwasiliane kupitia no.+447818716685

See pics of the tractors attached!

Asanteni!

Mmoja wa watu ninaowafahamu aliagiza tractor kuitikia wito wa serikali, mpaka sasani mwaka na ushee ameshindwa kupata kadi TRA, kisa kuna tractor ilishajiliwa bongo kwa details hizo! Akiuliza zaidi anaambiwa huyo afisa wa TRA aliyesajili hiyo trakta nyingine kashafukuzwa!

Amechukua mtu wa TRA akampeleka nyumbani akafanya inspection, hata baada ya hiyo report anapata jibu hakuna kinachoeleweka. Sasa kama tu kupata plate number na kadi ni zaidi ya year and half especially kama unafuata process na 'hamna unayemfahamu', si ni bora mtu aagize shangingi maana naona ndio yanasajiliwa haraka huku ironically tukiambiwa tulete matrekta! Kama hazitoshi kununua shangingi ni beta ni tu mtu akatandika mvinyo!

Hilo ni angalizo tu mkuu!
 
Back
Top Bottom