Matoleo yaliopita ya Range rover yana muonekano wa kiume,Matoleo ya sasa yana muonekano wa kike

Range Rover na Mercedes Benz kuwakosoa ni kwadharau sana hizo gari unaziona kama zipo kimayai mayai aisee zinaatamia bara bara hatari kagari kadogo lakini kana uzito na balance utadhani gari kubwa na mapumziko ndio nyumbani kwake hapo...Eti Range sawa na Rav 4? wabongo kwa dharau Mungu atusaidie kwa kweli...
Ajabu sana kwa kweli yaani umshushe mwenye Range umpe Rav4 kwanza hata hadhi yao tofauti

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hahah mi nilikua nazipendea ule u-masculine mkuu sasa kama disco. 5 ilivyo sasa hivi haitishi tena mkuu.

Jeremy tangu aende kule the grand tour hata mzuka wa kumfuatilia haupo tena mkuu hahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri
Nimeziendesha hizo ila wanajaribu kupunguza uzito wa ziada kama chuma maana hata ukiangalia body na wheels za zamani ni tofauti kabisa na za sasa
Kuhusu Clarkson zamani akiisifia gari soko lake kila mtu ata order.
Lakini akiliponda kwisha habari yake watajuta kumjua
Nakumbuka zamani RANGE ROVER sport toleo la kwanza tu alipewa alijaribu na kulitolea sifa zake duuu
Aliliponda na ilikosa market kabisa
Ila baadae wakaja kutoa nzuri na nyingine ya ziada convertible hiyo ni matata
Napenda familia ya Land rover kwa ujumla maana lina hadhi yake kwa kweli ila don't get me wrong za zamani zilikuwa ni masculine haswa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ila jeremy sababu ni Muingereza kiukweli kwny Top gear alijaribu sana kuzibeba gari za kwao ingawa mostly alikua anaonyesha haziko trustworthy pia sana sana Jaguar ndo alikua anaziponda mno,
mmarekani gari zake zilikua zinakipata cha moto kwny review hahah.

Kuna siku aliifanyia review Bmw X6 akawa anasema(there is no locking differentials,no low range gearbox,no ride height control) aisee aliipeleka kwny ka muinuko kadogo tu kenye majani majani hivi X6 ikaanza kuslip haikuweza hata kupanda then akaenda kuchukua Range ikapanda pale kama imesimama vile hahah wajerumani walimtukana balaa,hahah

All in all enjoy the ride mkuu.

black sniper,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Melanin mentality,, hapo hata kudesign tofari tu huwezi Afu unadiscredit design za watu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
44B7E341-3F45-4E63-9E57-37D4B4A14152.jpeg
E9D54ABC-443D-4398-8F51-F91E7F242868.jpeg
1C6B2AC8-3511-4503-A5EB-D257B464E4DC.jpeg
AA40567A-CB25-4E75-9B47-3491FA1F851E.jpeg

nazipenda hizo classic na P38 ukiipamba ni yakibabe
 
Dunia inabadilika na ni lazma na Range wasibaki nyuma nao wabadilike, mkitaka magari ya kiume si mnunue ma Scania 114...
Ahahahaaaa hiyo chombo huwa inapumua sijapata ya ukuilinganisha nayo, 114 H with turbo manina utaisikia inakuitikia ukiibadilishia gear "uuuuuh"
 
Back
Top Bottom