Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,446
- 45,727
Ajabu sana kwa kweli yaani umshushe mwenye Range umpe Rav4 kwanza hata hadhi yao tofautiRange Rover na Mercedes Benz kuwakosoa ni kwadharau sana hizo gari unaziona kama zipo kimayai mayai aisee zinaatamia bara bara hatari kagari kadogo lakini kana uzito na balance utadhani gari kubwa na mapumziko ndio nyumbani kwake hapo...Eti Range sawa na Rav 4? wabongo kwa dharau Mungu atusaidie kwa kweli...
Sent from my SM-G570F using Tapatalk