Elections 2010 Matokeu Uraisi Kikwete ameshinda

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Kutokana na Vyanzo nilivyo vipitia hivi punde,, inaonesha Slaa mempiga magepu Kikwete majimbo ambayo Aslisimamisha wagombea wake wa Ubunge tu,, Lakini kwasasa kuna majimbo ambayo Kikwete wagombea wake walipita bila kupingwa niko Kikwete amepata kura nyingi sana na majimbo ambayo Wagombea wake wameshinda kwa kishindo amempiga gape Slaa kwa Asilimia nyingi Aproximatelly ni 70%-75%

Inaonesha Pamoja na kufanya jitihaada za kufanya mabadiliko lakini still kunawatu hawataki mabadiliko..

Kwa mtindo huo Kikwete ameshinda lakini haya si matokeo Rasmi kutoka NEC
 
Tell others kuwa Watanzania Wasaliti wamempitisha Kiwete
 
We need facts not blah blah, wakati huu hatufanyi kampeni ndiyo maana hata matokeo ya ubunge watu wanasubiri confirmation ya tume.
 
Nimemsikia akituma salamu kwa Dr Shein akitaja kuwa atashirikiana na Zanzibar kuhakikisha serkali yao ya umoja inaendeshwa vyema. Bila shaka ameshajijua kuwa ndiye rais anayefuata. Mambo ya kusema subiri matokeo ya tume ni danganya toto
 
Naona kunawatu wanajazba za kijinga,, kama NEC wanasubiri matokeo ya majimbo mengine wewe ni nani bwana si unaangalia idadi ya majimbo ambayo CCM wameshinda kisha unaaproxmate hata akili hiyo ya darasa la Saba hauna kaka

unajiahibisha jamiini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom