Matokeu Uraisi Kikwete ameshinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeu Uraisi Kikwete ameshinda

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by silver25, Nov 2, 2010.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na Vyanzo nilivyo vipitia hivi punde,, inaonesha Slaa mempiga magepu Kikwete majimbo ambayo Aslisimamisha wagombea wake wa Ubunge tu,, Lakini kwasasa kuna majimbo ambayo Kikwete wagombea wake walipita bila kupingwa niko Kikwete amepata kura nyingi sana na majimbo ambayo Wagombea wake wameshinda kwa kishindo amempiga gape Slaa kwa Asilimia nyingi Aproximatelly ni 70%-75%

  Inaonesha Pamoja na kufanya jitihaada za kufanya mabadiliko lakini still kunawatu hawataki mabadiliko..

  Kwa mtindo huo Kikwete ameshinda lakini haya si matokeo Rasmi kutoka NEC
   
 2. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tell others kuwa Watanzania Wasaliti wamempitisha Kiwete
   
 3. c

  chanai JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waambie NEC watangaze hayo matokeo. Kwa nini hawataki?
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Badili taito basi...unapotosha umma wa JF
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  O.k ,Tunamtakia safari njema!!
   
 6. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  We need facts not blah blah, wakati huu hatufanyi kampeni ndiyo maana hata matokeo ya ubunge watu wanasubiri confirmation ya tume.
   
 7. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nimemsikia akituma salamu kwa Dr Shein akitaja kuwa atashirikiana na Zanzibar kuhakikisha serkali yao ya umoja inaendeshwa vyema. Bila shaka ameshajijua kuwa ndiye rais anayefuata. Mambo ya kusema subiri matokeo ya tume ni danganya toto
   
 8. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona kunawatu wanajazba za kijinga,, kama NEC wanasubiri matokeo ya majimbo mengine wewe ni nani bwana si unaangalia idadi ya majimbo ambayo CCM wameshinda kisha unaaproxmate hata akili hiyo ya darasa la Saba hauna kaka

  unajiahibisha jamiini
   
Loading...