Matokeo ya Yanga Leo ni Kosa La Uongozi wa Yanga katika Kumshauri Kocha Mpya.

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Kwa mtazamo wangu uongozi wa Yanga ulitakiwa kumshauri kocha mpya kuwa mshauri wa Minziro. Issue ilitakiwa kuwa hivi:- Kwa kuwa kocha mpya hakuwa anaijuwa Yanga vizuri, nikiwa na maaea ya kuwajua wachezaji wake na formation yake, kilichotakiwa kufanywa na uongozi wa Yanga ni kumshauri kocha huyo mpya kuuangalia uchezaji wa timu kabla ya kumpa majukumu yote kabla ya kumpa majukumu yote kama ilivyofanyika leo.
 
Tayari mshaanza kulonga. Mpeni nafasi kocha atengeneze timu. Pili mkubali kuwa hata timu ikiwa nzuri, hufungwa nyakati fulani.
 
Uongozi upi tena.Si yupo kocha Minziro.Kocha wa Atletico amesema kwamba alidhani Yanga wangecheza mpira wa kukimbiza ambao ndio asili yao. Walipowaiga Atletico na kujaribu kumiliki mpira ndio mambo yakaharibika.
 
...Washaanza...lol !! Mlipokuwa mnaimba sasa YY ni kama Brasili haikuwa kosa la uongozi ? Tegete huyu anajulikana, kafunga magoli 2 ya offside kelele mingiii ohh sasa ni mtoto kondric alikuwa anambania...mara ohh leo alikuwa off-form. Huyu ni off-form kila siku/....:israel:

Punguzeni domo, mwache atengeneze timu. Na mjue hela za ufisadi zina mikosi, ni hela za watanganyika wanaokufa njaa kila siku...!!
 
sasa hela za ufisadi tuziache ziende tu si heri zibaki hapahapa tanzania, kuliko wakina MO wanaokimbia nazo warabuni. Shukran kwa manji kwa kutopeleka hela zake zote uswis
 
Kwa mtazamo wangu uongozi wa Yanga ulitakiwa kumshauri kocha mpya kuwa mshauri wa Minziro. Issue ilitakiwa kuwa hivi:- Kwa kuwa kocha mpya hakuwa anaijuwa Yanga vizuri, nikiwa na maaea ya kuwajua wachezaji wake na formation yake, kilichotakiwa kufanywa na uongozi wa Yanga ni kumshauri kocha huyo mpya kuuangalia uchezaji wa timu kabla ya kumpa majukumu yote kabla ya kumpa majukumu yote kama ilivyofanyika leo.

Ni mapema sana kaka kutoa lawama kwa uongozi au kamati ya ufundi, hayo ni matokeo ya kawaida kwa mpira wa miguu
Hata Warundi nao wamekuja kusaka kombe..Kuna timu nyingi zina maandalizi ya kutosha lakini bado zinapoteza michezo.
Vuta subira kuanza vibaya si kumaliza vibaya...Yawezekana Yanga ikawa bingwa tena!
 
Well said Kiongozi,team imekaa pamoja masiku kibao imekwenda kushiriki kombe la ujirani sijui urafiki mwema na kuchukua kombe lkn bado wamechezea,itakuwa Yanga?!!
 
Back
Top Bottom