Matokeo ya Written Interview-TRA mwaka 2019

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Waswahili wanasema utavuna ulichopanda watu wana marks za kuandika namba kwenye Interview Script. Hongereni wapambananaji mliokua selected.

Nitaweka attachment soon hapa mengine yanaendelea kutolewa.

attachments/assistant-tax-officer-pdf.1051632/

1D657935-2028-48CD-B254-A5EFAED902D3.jpeg
 
Mkuu naomba ya Assistant Customs Officer na Internal Affairs Officer
 
AISEE VIJANA WAMEFELI SANA KUDADADEKI,
HIVI INAKUWAJEKUWAJE MTU ANAPATA MARKS 2 KWENYE MTIHANI WA SOMO AMBALO UMESOMEA DARASANI?
I NEVER IMAGINE AISEE
 
Back
Top Bottom