EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Kesho tarehe 12/12 kuna interview ya mchujo pale CBE kwa kada mbalimbali ambapo matokeo ya interview ya leo ndiyo yanategemewa kutoa washindi wa oral interview ya kesho. Waliahidi kutoa matokeo saa 12 jioni kwenye website ya PSRS lakini hadi sasa hawajatoa,
Najiuliza, kama interview ni kesho asubuhi waliopita written interview watajua saa ngapi ili waweze kujiandaa ukizingatia si kila mtu ana access na internet.
Najiuliza, kama interview ni kesho asubuhi waliopita written interview watajua saa ngapi ili waweze kujiandaa ukizingatia si kila mtu ana access na internet.