Matokeo ya Wizara ya Afya

Matokeo ya mtihani, vipimo vya ugonjwa au nini? Sasa hata kama unataka usaidiwe taarifa utasaidiwaje kama hujui kujieleza?
 
Some ppo did application on nursing,clinical medicine via ministry of health...xo anauliza matokeo when?this year yamechelewa kuliko
 
Some ppo did application on nursing,clinical medicine via ministry of health...xo anauliza matokeo when?this year yamechelewa kuliko
Nenda wizarani kaulizie idara ya mafunzo utapata majibu yako pale.
 
Hapo kazi ipo tusubiri tu mtaani nako sio wanaojua kinachoendelea basi watujuze.
 
Naomben kama kuna m2 anajua kachuo chochote kenye nafac za clical oficer anjuze akhasanten
 
kunatetesi kuwa wameweka tangazo pale wizarani kuwa selection zitachelewa kidogo mpaka wiki ya pili ya mwezi wa kumi. kama utaweza kupitia hapo wizarani kacheck ili uwe na uhakika upunguze mhemko.
 
kunatetesi kuwa wameweka tangazo pale wizarani kuwa selection zitachelewa kidogo mpaka wiki ya pili ya mwezi wa kumi. kama utaweza kupitia hapo wizarani kacheck ili uwe na uhakika upunguze mhemko.

hyo co tarehe ya kufungua mkuu?
 
Jamani nimesubiri sasa nishachoka na kuamua kwenda chuo cha ualimu.

Yani ata me nacheck mpango mwngne isije nkapoteza tym afu stl nikakosa coz kama yatatoka kweli tar 15 afu ukakosa uwezekano wa kukaa hom mwaka mmoja zaid ni mkubwa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom