Nenda wizarani kaulizie idara ya mafunzo utapata majibu yako pale.Some ppo did application on nursing,clinical medicine via ministry of health...xo anauliza matokeo when?this year yamechelewa kuliko
Kwanlivyo uliza wanasema mpaka tar kumi na za mwezi wa tisa.
Kwanlivyo uliza wanasema mpaka tar kumi na za mwezi wa tisa.
Ebwana wanaboa leo tar. 21/09 hawajatoa ila bhas hatuna jinc.Kwanlivyo uliza wanasema mpaka tar kumi na za mwezi wa tisa.
kunatetesi kuwa wameweka tangazo pale wizarani kuwa selection zitachelewa kidogo mpaka wiki ya pili ya mwezi wa kumi. kama utaweza kupitia hapo wizarani kacheck ili uwe na uhakika upunguze mhemko.
hyo co tarehe ya kufungua mkuu?
kufungua kuna makundi mawili moja litaenda baada ya kutoa selection jingine mwakani mwanzoni kati ya Jan, Feb au March
Jamani nimesubiri sasa nishachoka na kuamua kwenda chuo cha ualimu.