Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

Nidyo sababu sijamwita kuwa ni mwongo. Uwongo wake ni upi? Wise men are always precise on when to cast a stone. Kelele ni huo upuuzi wa kumwita researcher mwongo bila research!
No, sio suala la wise au researchers! Twende taratibu kwa lengo la kuelimishana si kubishana, tuseme basi ameteleza kuweka Neno uongo au vyovyote vile, he the rest ya alichoandika hakina mantiki? Jibu bila kuongozwa na hisia!!!
 
Dunia nzima inalalamikia test kits and u there with ur form 6 biology writing an essay on it...? Look who did say it was positive, negative, inconclusive etc...them....the lab... So go ask em... What - ve means and inconclusive means...
Chinese can give you shits and yo all take it like .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Well dont put blame on him. Blame on president.
At one point aliwahi kusema china ndio marafiki wa kweli.

As i recall nchi kumi ambazo zimepata vifaa tiba kutoka china ndio zimelalamika .
It seem kuna ajenda mbaya kutoka china.. or somehow wanamake vifaa vibovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni kudhani kwamba vipimo vikitumika kupima vitu visivyostahili kupimwa, na vikatoa majibu, 'positive' au 'negative' hilo ndlo likawa hitimisho la kusema "vipimo havina ubora."

Hakuna sayansi ya aina yoyote katika matokeo hayo.

Kwa nini ukapime sampuli za mbuzi, kondoo, mapapai na vitu vinginevyo kwa kutumia vipimo vilivyotengenezwa mahsusi kupima sampuli za binaadam wanaohofiwa kuwa na COVID-19?

Sayansi sahihi, ya kuhakikisha vipimo vinafanya kazi au ni vibovu, ni kupima sampuli za binaadam, wanaojulikana kuwa na ugonjwa na ambao hawana ugonjwa. Sampuli hizo hizo pia zinatakiwa zipimwe katika maabara tofauti na na maabara moja na kulinganisha matokeo; ikibidi kwa kutumia vipimo vya aina mbalimbali.

Sisi tunachanganya siasa kwenye sayansi vitu viwili visivyoendana kabisa.

Tanzania tunabaki nyuma sana sasa katika mambo ya sayansi; na hasa tangu awamu hii ya ujenzi wa barabara, madaraja na miundo mbinu ilipoingia kwenye utawala. Wao pekee ndio wanaojua mahitaji mhimu ya nchi hii, na wataalam kwenye nyanja mbalimbali, na hata elimu kwa ujumla kwao hayana maana kubwa.

Tutachelewa, na tutajutia sana kubaki nyuma ya wenzetu.
Kama hivi vipimo vipo calibrated kupima sampuli ya binadamu tu na sio kitu kingine si visingetoa majibu yoyote?

Na mtalaamu wa maabara angebaini sampuli sio relevant. Sasa ute wa fenesi +ve papaya -ve. Wapi na wapi? Watanzania sio wajinga.
 
Why unapoteza muda kumjibu kwa akili MTU kama huyo?? Ulidhani wanajua? Wao ni kupotosha tu kila kitu, ni kutetea tu and they're paid for that wakati wewe lengo lako ni kuelimisha
Asante mkuu!
 
Salaam JF.

Kuna aina kuu mbili za vipimo vya maabara kulimgana na matokeo/majibu yanayopatika kama ifuatavyo.

1. "Qualitative test": hiki ni kipimo ambacho hutoa matokeo mawili tu ambayo ni "mutually exclusive", yaani matokeo yanaweza kuwa ni "positive" au "negative". Majibu ya kipimo hiki ni "categorical" na kwahiyo huandikwa kwa alama yoyote ile ambayo inaweza kuwa herufi (P/N, X/V, Y/N) au kwa namba (0/1).
2. "Quantitave test": aina hii ya kipimo sio tu hutoa majibu ambayo ni positive au negative, bali kama ni positive kina bainisha ni kwa kiasi gani. Majibu ya kipimo hiki hutolewa kwa namba yenye kizio (SI unit) yaani "numerical value".

Kipimo cha korona kwa njia ya "Real Time Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction" (qRT-PCR) kinachotumiwa na Maabara ya Afya ya Taifa ingawa ni "quantitative test", majibu yake huripotiwa "positive" kama ugonjwa upo au "negative" kama haupo. Hii ni kwasababu lengo la kipimo cha COVID-19 si kujua kiasi cha virusi (viral load) kwenye mwili wa mgonjwa, ni kujua virusi vipo au havipo.

Tukirudi kwenye hotuba ya Dkt. Magufuli, mbali majibu ya positive na negative, tumesikia akitaja aina nyingine mbili za matokeo kwa vipimo vya sampuli "zilizochomekewa". Ametaja kuna jibu limetoka kuwa ni "undeterminate" na jibu lingine ni "unconclusive". Ingawa yametumika maneno mawili tofauti, maana ya majibu haya yoye ni moja tu; maana yake ni kwamba "haieleweki kama mgonjwa ana maambukizi au la".

Kwa majibu haya mawili napata wasiwasi juu ya ukweli wa tuhuma za Dkt. Magufuli kwa wataalamu wa maabara husika.

Kama tulivyoona hapo juu, majibu ya kipimo cha korona ni aidha positive au negative. Lengo la kupima sampuli kutoka kwa mgonjwa si tu kubaini kama ugonjwa upo au haupo, bali kutoa muongozo hatua gani zichukuliwe kwa mgonjwa kulingana na matokeonya vipimo. Yaani kama mgonjwa amekutwa na tatizo atibiwe au taadhali kuepusha maambukizi kwa wengine au aruhusiwe kama hana maambukizi.

Sasa hebu fikiria, linapokuja jibu la kipimo toka maabara "indeterminate" au "unconclusive" daktari au nesi anapata muongozo gani hapo? Daktari atachukua hatua gani kwa mgonjwa kwa mujibu ambayo hayabainishi endapo mgonjwa ana maambukizi au la?

Ukweli ni kwamba, hakuna "mtaalamu" wa vipimo tiba anayetoa majibu dizaini ya Dkt. Magufuli. Sisemi kwamba kitu "unconclusive" au "undeterminate" hakitokei kwenye mchakato wa vipimo, hapana. Lakini inapotokea majibu yanayotatanisha/babaisha, kama ni mtaalamu kweli, huwezi kuandika "unconclusive" au "undeterminate" kwenye "final report" inayoenda kwa daktari.

Ikitokea hivyo maana ni kwamba kuna kitu hakijaenda sawa kwenye mchakato wa kipimo. Inaweza kuwa ni hitilafu ya mashine, vitendanishi (reagents) controls au calibrators. Lakini pia inaweza kuwa ni kutokana na mapungufu ya kibinadamu katika ukusanyaji, uhifadhi au uchakataji wa sampuli husika.

Itokea majibu kuwa ni unconclusive, mtaalamu analazimika kufanya "troubleshooting" ili kubaini na kurekebisha hitilafu au kasoro zilizojitokeza katika mchakato nzima wa kipimo. Itamlazimu pia kurudia mchakato kwa umakini zaidi na mwishoe ili majibu yatoke positive au negative. Ikiwa ameruduia mara kadhaa na kupata majibu yasioeleweka itabidi majibu ya sampuli husika yawe "pending" "until further actions".

Kwa kumalizia ni kwamba aidha Dkt. Maguli ameongopa kwasababu huo sio utendaji wa "mtaalamu" wa vipimo tiba au wale wa NHL hawako "competent" kitu ambacho hata mtoa tuhuma hakiamini.

Asante sana.
Rudi shule huna ulichokisoma zaidi kukariri theory za mabeberu.

Umeandika maneno mengi ili ujione na wewe eti una akili alafu mkemia. Kumbe bichwa maji tu. Iwe ni quantitative analysis au qualitative analysisi . Test kit calibrated kupima covid -19 inapowekewa sampuli kama sampuli ina virus itasema +ve kama haina itasema -ve kama sampuli sio relevant lazima isitoe majibu. Hata kipimo cha mimba tu ukiweka mkojo wa mwanamke au mwanaume lazima kitoe majibu. Iwe positive au negative sababu kinapima mkojo.Lakini ukiweka maji hakitatoa jibu lolote. Kwa hiyo hivi vipimo kutoa majibu ya mapapai na fenesi tambua kuna tatizo.
 
Salaam JF.

Kuna aina kuu mbili za vipimo vya maabara kulimgana na matokeo/majibu yanayopatika kama ifuatavyo.

1. "Qualitative test": hiki ni kipimo ambacho hutoa matokeo mawili tu ambayo ni "mutually exclusive", yaani matokeo yanaweza kuwa ni "positive" au "negative". Majibu ya kipimo hiki ni "categorical" na kwahiyo huandikwa kwa alama yoyote ile ambayo inaweza kuwa herufi (P/N, X/V, Y/N) au kwa namba (0/1).
2. "Quantitave test": aina hii ya kipimo sio tu hutoa majibu ambayo ni positive au negative, bali kama ni positive kina bainisha ni kwa kiasi gani. Majibu ya kipimo hiki hutolewa kwa namba yenye kizio (SI unit) yaani "numerical value".

Kipimo cha korona kwa njia ya "Real Time Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction" (qRT-PCR) kinachotumiwa na Maabara ya Afya ya Taifa ingawa ni "quantitative test", majibu yake huripotiwa "positive" kama ugonjwa upo au "negative" kama haupo. Hii ni kwasababu lengo la kipimo cha COVID-19 si kujua kiasi cha virusi (viral load) kwenye mwili wa mgonjwa, ni kujua virusi vipo au havipo.

Tukirudi kwenye hotuba ya Dkt. Magufuli, mbali majibu ya positive na negative, tumesikia akitaja aina nyingine mbili za matokeo kwa vipimo vya sampuli "zilizochomekewa". Ametaja kuna jibu limetoka kuwa ni "undeterminate" na jibu lingine ni "unconclusive". Ingawa yametumika maneno mawili tofauti, maana ya majibu haya yoye ni moja tu; maana yake ni kwamba "haieleweki kama mgonjwa ana maambukizi au la".

Kwa majibu haya mawili napata wasiwasi juu ya ukweli wa tuhuma za Dkt. Magufuli kwa wataalamu wa maabara husika.

Kama tulivyoona hapo juu, majibu ya kipimo cha korona ni aidha positive au negative. Lengo la kupima sampuli kutoka kwa mgonjwa si tu kubaini kama ugonjwa upo au haupo, bali kutoa muongozo hatua gani zichukuliwe kwa mgonjwa kulingana na matokeonya vipimo. Yaani kama mgonjwa amekutwa na tatizo atibiwe au taadhali kuepusha maambukizi kwa wengine au aruhusiwe kama hana maambukizi.

Sasa hebu fikiria, linapokuja jibu la kipimo toka maabara "indeterminate" au "unconclusive" daktari au nesi anapata muongozo gani hapo? Daktari atachukua hatua gani kwa mgonjwa kwa mujibu ambayo hayabainishi endapo mgonjwa ana maambukizi au la?

Ukweli ni kwamba, hakuna "mtaalamu" wa vipimo tiba anayetoa majibu dizaini ya Dkt. Magufuli. Sisemi kwamba kitu "unconclusive" au "undeterminate" hakitokei kwenye mchakato wa vipimo, hapana. Lakini inapotokea majibu yanayotatanisha/babaisha, kama ni mtaalamu kweli, huwezi kuandika "unconclusive" au "undeterminate" kwenye "final report" inayoenda kwa daktari.

Ikitokea hivyo maana ni kwamba kuna kitu hakijaenda sawa kwenye mchakato wa kipimo. Inaweza kuwa ni hitilafu ya mashine, vitendanishi (reagents) controls au calibrators. Lakini pia inaweza kuwa ni kutokana na mapungufu ya kibinadamu katika ukusanyaji, uhifadhi au uchakataji wa sampuli husika.

Itokea majibu kuwa ni unconclusive, mtaalamu analazimika kufanya "troubleshooting" ili kubaini na kurekebisha hitilafu au kasoro zilizojitokeza katika mchakato nzima wa kipimo. Itamlazimu pia kurudia mchakato kwa umakini zaidi na mwishoe ili majibu yatoke positive au negative. Ikiwa ameruduia mara kadhaa na kupata majibu yasioeleweka itabidi majibu ya sampuli husika yawe "pending" "until further actions".

Kwa kumalizia ni kwamba aidha Dkt. Maguli ameongopa kwasababu huo sio utendaji wa "mtaalamu" wa vipimo tiba au wale wa NHL hawako "competent" kitu ambacho hata mtoa tuhuma hakiamini.

Asante sana.
Je majibu ya sampuli za mapapai ni true positive au false positive?

Je hakuna uwezekano kuwa walipandikiza vijiInidudu vya Corona katika mipapai na mafenesi?

Inasemekana kuwakipimo cha RT-PCR ndio kipimo pendekezwa katika kupima corona.Iwapo sisi tumekiona hakifai je tutatumia mashine gani kupima au ndio hatopima tena????
 
Kwa wabobezi wa njia za utafiti wangeweza kufanya yafuatayo. Ili kuangalia kama vifaa vinafanya kazi ilibidi kupeleka sample kubwa ya watu bila kujali afya zao katika mafungu mawili au matatu au zaidi. Yaani, sampuli ya bwana Y kugawanywa mara mbili au zaidi na kila fungu kupewa jina tofauti na kupelekwa maabara. Halafu jambo hilo kurudiwa baada ya kupata majibu ya awali.
 
Wanasayansi halisi huwa hawakariri wala kusiasisha masuala.

Nenda kafanye utafiti juu ya references za majibu ya Rais ujue kama kweli vipimo vyote lazima viwe positive ama negatives kwa nyakati zote na kwamba ni kweli hakunaga mazingira yanayo command more examinations before conclusions.

Tuambie umekwenda maabara umeziona hizo records za samples anazozungumzia kwamba hazikuandikwa hivyo, ama kwenye maabara records hakuna majibu ya aina hiyo, halafu uende mbali kuona kama kila kipimo kinachoingia huko kinaingizwa kwenye hiyo register yako na ujiridhishe kwamba kila matokeo yanayotoka yanaandikwa kwenye register na uzipitie registers zote, na uthibitishe kwamba hakuna uwezeka no wa human ama technical errors kwenye huo mchakato.

Kumuita Rais wetu muongo kwa hoja zako za kukariri zisizo na harufu ya sayansi yoyote si sawa.

Kwanza uanapta wapi audacity ya kumtukana kiongozi? Huwezi kujifunza kitu? What do you know about scientific experiments zaidi ya kukariri na pengine hata mitihani ulifeli ukapata marginal passes?

Umeniudhi.

Unamtetea mtu aliyewahi kujiita chizi mwenyewe???Mtu mpaka kufikia level ya kujiita kichaa ujue kichaa chako kimekomaa, no wonders tumehamishia makao makuu karibu na hospitali ya vichaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je majibu ya sampuli za mapapai ni true positive au false positive?

Je hakuna uwezekano kuwa walipandikiza vijiInidudu vya Corona katika mipapai na mafenesi?

Inasemekana kuwakipimo cha RT-PCR ndio kipimo pendekezwa katika kupima corona.Iwapo sisi tumekiona hakifai je tutatumia mashine gani kupima au ndio hatopima tena????
Kuna false negative vile vile.
 
Kuhusu majibu kuwa positive kwa sampuli ya papai sio lengo la mada yangu kwa kuwa tayari imeshajadiliwa sana. Hata hivyo tambua tu kwamba kitaalamu "study design" ya Dkt. Magufuli ina walakini mkubwa sana kwa vile hakubainisha kama sampuli zake zilipimwa katika maabara nyingine (comperative/standard lab) na ikaonesha kuwa sampuli ya papai lilikuwa negative for SARS-CoV 2 nucleic acid ili tuhitimishe kuwa majibu toka national lab ni "False Positive". Hilo moja.

Lakini tukija kwenye kauli ya Dkt. Malecela, ni kwamba "kachemka" na hii ni labda kwa vile yeye siyo "Lab Scientist" na kwahiyo ameelezea vibaya kuhusu "calibration" na "sample type" hasa kwa njia ya qRT-PCR.

Kiufupi ni kwamba, Teknolojia ya PCR haibagui aina au sampuli imetokana na nini. Kinachopimwa kwa teknolojia hii ni "nucleic acid" (jeni) ambayo inaweza kuwa ni DNA au RNA. Nucleic acid ni nucleic acid tu haijalishi imetoka kwa nyoka, paka, mbu, papai, fangasi au kirusi. Kwahiyo sio hoja kwamba ukiingiza sampuli iliyotokana na mafuta ya gari au fenesi kutasababisha "kui-confuse" mashine kama anavyodai Dkt. Mwelle.

Uwezo wa teknolojia ya PCR kutofautisha nucleic acid moja na nyingine hakutokani na matumizi ya "calibrator" kama asemavyo Dkt. Mwelle. Miongoni mwa vitendanishi (reagents) zinazotumika kwenye teknolojia hii ni "primers" na "probes". Vitendanishi hivi vimetengezwa kiupekee (unique) kwa ajili ya kutambua jeni inayokusudiwa (target nucleic acid) tu na si kubaini nyingine ambazo zinaweza kuwemo kwenye sampuli inayopimwa.

Kama hujaelewa usichoke kuuliza.
Kwanini ninyi watumishi wa mabeberu msikutane mkubaliane majibu ya kutoa!?
Kila mmoja wenu anajitia mjuaji kuliko mwenzake. Ona hapa unamuumbua dada wa Zika,wakati wote mnatumiwa na mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam JF.

Kuna aina kuu mbili za vipimo vya maabara kulimgana na matokeo/majibu yanayopatika kama ifuatavyo.

1. "Qualitative test": hiki ni kipimo ambacho hutoa matokeo mawili tu ambayo ni "mutually exclusive", yaani matokeo yanaweza kuwa ni "positive" au "negative". Majibu ya kipimo hiki ni "categorical" na kwahiyo huandikwa kwa alama yoyote ile ambayo inaweza kuwa herufi (P/N, X/V, Y/N) au kwa namba (0/1).
2. "Quantitave test": aina hii ya kipimo sio tu hutoa majibu ambayo ni positive au negative, bali kama ni positive kina bainisha ni kwa kiasi gani. Majibu ya kipimo hiki hutolewa kwa namba yenye kizio (SI unit) yaani "numerical value".

Kipimo cha korona kwa njia ya "Real Time Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction" (qRT-PCR) kinachotumiwa na Maabara ya Afya ya Taifa ingawa ni "quantitative test", majibu yake huripotiwa "positive" kama ugonjwa upo au "negative" kama haupo. Hii ni kwasababu lengo la kipimo cha COVID-19 si kujua kiasi cha virusi (viral load) kwenye mwili wa mgonjwa, ni kujua virusi vipo au havipo.

Tukirudi kwenye hotuba ya Dkt. Magufuli, mbali majibu ya positive na negative, tumesikia akitaja aina nyingine mbili za matokeo kwa vipimo vya sampuli "zilizochomekewa". Ametaja kuna jibu limetoka kuwa ni "undeterminate" na jibu lingine ni "unconclusive". Ingawa yametumika maneno mawili tofauti, maana ya majibu haya yoye ni moja tu; maana yake ni kwamba "haieleweki kama mgonjwa ana maambukizi au la".

Kwa majibu haya mawili napata wasiwasi juu ya ukweli wa tuhuma za Dkt. Magufuli kwa wataalamu wa maabara husika.

Kama tulivyoona hapo juu, majibu ya kipimo cha korona ni aidha positive au negative. Lengo la kupima sampuli kutoka kwa mgonjwa si tu kubaini kama ugonjwa upo au haupo, bali kutoa muongozo hatua gani zichukuliwe kwa mgonjwa kulingana na matokeonya vipimo. Yaani kama mgonjwa amekutwa na tatizo atibiwe au taadhali kuepusha maambukizi kwa wengine au aruhusiwe kama hana maambukizi.

Sasa hebu fikiria, linapokuja jibu la kipimo toka maabara "indeterminate" au "unconclusive" daktari au nesi anapata muongozo gani hapo? Daktari atachukua hatua gani kwa mgonjwa kwa mujibu ambayo hayabainishi endapo mgonjwa ana maambukizi au la?

Ukweli ni kwamba, hakuna "mtaalamu" wa vipimo tiba anayetoa majibu dizaini ya Dkt. Magufuli. Sisemi kwamba kitu "unconclusive" au "undeterminate" hakitokei kwenye mchakato wa vipimo, hapana. Lakini inapotokea majibu yanayotatanisha/babaisha, kama ni mtaalamu kweli, huwezi kuandika "unconclusive" au "undeterminate" kwenye "final report" inayoenda kwa daktari.

Ikitokea hivyo maana ni kwamba kuna kitu hakijaenda sawa kwenye mchakato wa kipimo. Inaweza kuwa ni hitilafu ya mashine, vitendanishi (reagents) controls au calibrators. Lakini pia inaweza kuwa ni kutokana na mapungufu ya kibinadamu katika ukusanyaji, uhifadhi au uchakataji wa sampuli husika.

Itokea majibu kuwa ni unconclusive, mtaalamu analazimika kufanya "troubleshooting" ili kubaini na kurekebisha hitilafu au kasoro zilizojitokeza katika mchakato nzima wa kipimo. Itamlazimu pia kurudia mchakato kwa umakini zaidi na mwishoe ili majibu yatoke positive au negative. Ikiwa ameruduia mara kadhaa na kupata majibu yasioeleweka itabidi majibu ya sampuli husika yawe "pending" "until further actions".

Kwa kumalizia ni kwamba aidha Dkt. Maguli ameongopa kwasababu huo sio utendaji wa "mtaalamu" wa vipimo tiba au wale wa NHL hawako "competent" kitu ambacho hata mtoa tuhuma hakiamini.

Asante sana.
Pongezi kwa uwezo wako mkubwa wa kunakili na kubandika (copy and paste) na jitihada za kufafanua hicho ulichokusudia.

Kama ulimsilikiza Rais, kwa umakini, natumaini ni hivyo, nia ilikuwa kuthibitisha nadharia yake kuwa kuna tatizo na vipimo vya COVID-19. Majibu ya majiribio ya kuthibitisha nadharia hiyo, ndiyo hayo nawe yaliyokuchanganya hadi kuzama kwenye kunakili na kubandika yote hayo.

Rais amehitimisha matokea ya kuthibitisha nadharia yake kwa kuagiza uchunguzi ufanywe dhidi ya hao wataalamu (uwezo na weledi wao) na pia vipimo hivyo kama ni halali na vinaaminika (valid and reliable) kwa kupima COVID-19.

Kwa hili gonjwa:
JIKINGE UMLINDE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
 
Back
Top Bottom