Matokeo ya vijana tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya vijana tafadhali

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kibebii, Nov 1, 2010.

 1. k

  kibebii Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  habari Wana JF,
  Natumai wengine kwa sasa wanasherehekea na wengine wapo hospitalini kwa mchakato ulivyowashtua, biafsi naomba kusaidiwa matokeo ya vijana zaidi wawe chama chochote simaind... kama vile Mnyika, Kabwe, masauni,mdee, .....
   
Loading...