Matokeo ya Utafiti wa matumizi ya Juisi Ya Miwa Waibua Hofu Kubwa Jijini Mwanza

Chupayamaji

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
4,235
2,000
Watu wananyonya mkundu itakuwa juice ya muwa kukutwa na masalia ya kinyesi.Nchi ina watafiti wa hovyo kabisa kufanya utafiti kwenye vitu vya kijinga.Wamewahi kufanya utafiti kwenye vinywaji na sukari anayotumia mo?Wakienda huko wanapewa posho halafu wanakuja kuharibu biashara za watu maskini wanaotafuta pesa za kujikimu tu.
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
8,543
2,000
Yaani miwa michafu ikamuliwe juice bila hata kuoshwa, usitarajie kupatwa na magonjwa ya kuhara, kweli? hili wala halishangazi....
 
raraa reree

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,059
2,000
Kampuni za juic za kusindika naona wanataka kuharib biashara za wanyonge
Ila dah wanapokua wanakamua ile miwa jamaa kama wananawa vile doh 😃😃😃
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,853
2,000
Niliwahi kunywa once cz ilikua company watu wengi kwny evening walk ila mhh yalinishinda

Mazingira...mhh barabarani vumbii,inakamuliwa na maganda,wanaosha kweli?!.sijawahi rudia..
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,853
2,000
Watu wananyonya mkundu itakuwa juice ya muwa kukutwa na masalia ya kinyesi.Nchi ina watafiti wa hovyo kabisa kufanya utafiti kwenye vitu vya kijinga.Wamewahi kufanya utafiti kwenye vinywaji na sukari anayotumia mo?Wakienda huko wanapewa posho halafu wanakuja kuharibu biashara za watu maskini wanaotafuta pesa za kujikimu tu.
Wanafki watafiti au watumiaji🤣?
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
5,393
2,000
Tujiandae na ujio wa bakhresa juisi ya miwa tamu tamu.

Ukweli me niliacha kunywa tangu nilipoona barafu zinazokuja changanyiwa kwenye juisi zimeletwa na mkokoteni mchafu
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
59,555
2,000
Watu wananyonya mkundu itakuwa juice ya muwa kukutwa na masalia ya kinyesi.Nchi ina watafiti wa hovyo kabisa kufanya utafiti kwenye vitu vya kijinga.Wamewahi kufanya utafiti kwenye vinywaji na sukari anayotumia mo?Wakienda huko wanapewa posho halafu wanakuja kuharibu biashara za watu maskini wanaotafuta pesa za kujikimu tu.
Zengwe hili wanawatengenezea watengenezaji
Wa juice za miwa tu
Wameona majuice zao ya machemical hayauziki

Ova
 
mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
751
1,000
Kampuni za juic za kusindika naona wanataka kuharib biashara za wanyonge
Ila dah wanapokua wanakamua ile miwa jamaa kama wananawa vile doh
Na mimi ndio nilichokiona hicho,hii ni nia ya wenye viwanda vya vinywaji baridi kuharibu soko la watengeneza juice mitaani,mimi ninaponywea hizo juice za miwa watengenezaji wanavaa gloves tena zile nzito
 
1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
2,015
2,000
Wenye akili Kubwa tu ndo wataelewa hawa watafiti wana maslah binafsi na mwenye/wenye viwanda vya juice.
Hii michezo ya kuchafuliana biashara /brands ipo sana ughaibuni.

Hushangai agents wa Samsung kusema iPhone inatumiwa zaidi na wanawake,tena wale mala*a.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom