Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Asante sana mimi kama kijana Mzalendo na mtafiti wa mambo ya kisayansi mwenye shahada kwa muda mrefu nimefanya utafiti wa kupunguza msongo wa mawazo nikagundua yafuatayo
1:KUJAMBA KUNA PUNGUZA MAWAZO AU STRESS KWA KIWANGO CHA AJABU
Mfano Mtu muoga akiona kitu cha ajabu au cha kutisha basi lazima ataanza kujamba na kadri anavyo jamba anakuwa ana gain ujasiri
ivyo nawashauri Watanzania mukiwa na hasira musinywe sumu nyie jambeni wewe hasira zitaisha
Why
je kwanini kujamba kunapunguza stress
jibu kwanza stress zinachochea hormoni na kemikali kupanda kwa iyo unapo jamba una regulate na ku control hormone
asanteni
by local scientist and researcher