matokeo ya utafiti kati ya waliooana na wasiooana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matokeo ya utafiti kati ya waliooana na wasiooana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Plato, Feb 5, 2011.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  nimemaliza utafiti baada ya miaka 2 ya uchunguzi.nimegundua kuwa kuwa:kabla ya ndoa wapenzi hufanya mapenzi kwa kujituma wote wawili,hubuni na kufanya style mbalix2.lakini kwenye ndoa asilimia 98 ni kifo cha mende,na kwa wanawake ni kulala kutimiza wajibu tu.ila hali ni tofauti kwa wote wanapotoka nje ya ndoa.mwanaume atasema umenipa vitu ambavyo mke wangu hanipi.mwanamke naye atasema leo nimefurahia mapenzi baada ya muda mrefu.kwa nini hili liko hivi?
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmh, kama ni kweli subiri waje wazoefu watuambie.
  Lakini nina mashaka na huo utafiti wako.
  Hata hivo siwezi kusema sana kwa sababu na mimi sijafanya utafiti.
  So I have no right to speek.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmhhhhhhh wenye ndoa tafadhali tunaomba mtujuze.....tungependa kufahami kabla ya kuingia.....:coffee:
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmmhhhh sina data lakini nina shaka na huu utafiti... isijekuwa ni wa redet mkuu!!!!:msela:
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  The same applied to kwenye kuomba kazi..mbwembwe nyingiii ila ukishapata kazi uzembeuzembe
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  utafati ulifanya kwa kula chabo au vipi????????:twitch:
   
 7. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,824
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Michelle ni PM nikwambie kitu mana naogopa hapa poti wangu mwita maranya atanimind
   
 8. V

  Vumbi Senior Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mmmmm huu utafiti wako sampuli ulizichukuaje? mbona hauna hata numba wakati jambo unalozungumzia lina husu watu. Kwa jinsi ulivyo eleze inaelekea huu utafiti utakuwa chini ya REDET!!!!!!!
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mimi utafiti wangu uligonga mwamba nahisi sikutumia material nzuri ovyoooooooo bora hata kwa .......
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nitakuwa na jibu after 5 years.
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,370
  Likes Received: 3,202
  Trophy Points: 280
  Ungenihoji na mimi kabla ya kuchapisha utafiti wako ungepata jibu tofuti na ulilonalo sasa na ungeitukuza ndoa
   
 12. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,411
  Trophy Points: 280
  1. No love among couples (ukimaliza funika).
  2. Mazoea kupita kiasi (nje anaogopa kutukanwa lazima aseme kitu bomba hata kama si kweli).
   
 13. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mhhh no comment ningekuwepo ndio ningeweza kutoa mawazo.....
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,030
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  Hahahaha,mnafurahishi,anyway michelle karibu kwenye himaya ya ELUNGATA baby.
   
 15. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ulitumia sample space ngapi katika utafiti wako?
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Aiseee
   
 17. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani hiyo nafikiri ni Hypothesis bado. watafitii ingieni field mlete results.
   
 18. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vipi MR kuna ukweli? mbona wastuka?
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Inawezekana ngoja nifanye utafiti hahaha
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ngoja nimfanyie utafiti huyu mtafiti kama ana ndoa au hana, ni female au male, ana nyumba ndogo, kubwa au nyumba saiz ya kati, na hii thread aliituma akiwa kwao, kwake au kwa mwenza wake n.k.
   
Loading...