Matokeo ya Usaili wa Mchujo, Bodi ya Kahawa | Usaili wa Mahojiano kufanyika Machi 18, 2019

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
1,686
2,000
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

1.Usaili wa Mahojiano ufatanyika tarehe 18/3/2019 Ofisi za Tanzania Coffee Board

2. Muda wa Usaili ni kuanzia saa moja kamili asubuhi

3. Kila Msailiwa anakumbushwa kuja na Vyeti vyake vya taaluma pamoja na cheti cha kuzaliwa.

Kuona waliochaguliwa, tembelea >>> View attachment MATOKEO-TANZANIA-COFEE-BOARD.pdf
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom