M marhaba02 Member Sep 28, 2014 19 0 Dec 15, 2014 #1 Amani ya Mungu iwe kwenu wadau mwenye taarifa juu ya matokeo ya Usaili wa NSSF Atujuze mwisho wa kuwasilisha.
Amani ya Mungu iwe kwenu wadau mwenye taarifa juu ya matokeo ya Usaili wa NSSF Atujuze mwisho wa kuwasilisha.
Ngowi Junior Senior Member Aug 4, 2014 102 38 Dec 15, 2014 #4 Kwani walisema watatoa matokeo baada ya mda gani?
K KoreaKaskazini JF-Expert Member Nov 25, 2014 219 51 Dec 15, 2014 #5 presha inapanda presha inashuka maana ile pepa 100 Qns si mchezo
Ndesalee JF-Expert Member Apr 17, 2014 1,085 513 Dec 16, 2014 #6 Ila inaonekana yatawahi kutoka,si watatumia OMR katika usasahishaji. Mungu atusaidie jamani tuweze kutokelezea.
Ila inaonekana yatawahi kutoka,si watatumia OMR katika usasahishaji. Mungu atusaidie jamani tuweze kutokelezea.
Dudus Coke Member Aug 31, 2014 42 37 Dec 16, 2014 #7 duh kuna kiumbe kimeniambia yametoka nikahisi haja imenishika
Brightdeemed JF-Expert Member Nov 3, 2014 291 137 Dec 16, 2014 #9 Dudus Coke said: duh kuna kiumbe kimeniambia yametoka nikahisi haja imenishika Click to expand... Hehehe
Dudus Coke said: duh kuna kiumbe kimeniambia yametoka nikahisi haja imenishika Click to expand... Hehehe