Matokeo ya usaili NSSF

marhaba02

Member
Sep 28, 2014
19
0
Amani ya Mungu iwe kwenu wadau mwenye taarifa juu ya matokeo ya Usaili wa NSSF Atujuze mwisho wa kuwasilisha.
 
Ila inaonekana yatawahi kutoka,si watatumia OMR katika usasahishaji.
Mungu atusaidie jamani tuweze kutokelezea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom