Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,582
Jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
Naunga mkono hoja, Dr ( ndiye rais) tunataka figure hapa jamani!1
JHivyo sasa wakati watu wanashangilia matokeo ya ubunge jamaa wanachakachua ya urais.
Nimewasikitikia Singida mjini...wamempa jk 19,000 dhidi ya 5,000 za daktari wa ukweli..
Jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
Jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
Shule ni ishu kaka...Uswahili na darasa wapi na wapi?Nimewasikitikia Singida mjini...wamempa jk 19,000 dhidi ya 5,000 za daktari wa ukweli..
hatuhangaiki na Urais kwa kuwa taswira iko clear kuwa JK atachukua. ni vema tu-concetrate kwenye ubunge na udiwani. ya Urais yataumiza vichwa vyetu pasipo sababu.
Nimewasikitikia Singida mjini...wamempa jk 19,000 dhidi ya 5,000 za daktari wa ukweli..
Shule ni ishu kaka...Uswahili na darasa wapi na wapi?
jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
hao jamaa wamejikita kule kwa kibunango ndo wapo busy kutangaza mpaka sasa seif anaongoza