Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Ukweli lazima ni uweke bayana ya kuwa matokeo ya jimbo la Babati Mjini yalyompa JK kura zaidi ya 5, 000 dhidi ya Dr. Slaa, Jimbo la Siha yaliyompa JK takribani asilimia themanini na Dr. Slaa kumshinda JK kwa kura kiduchu za karibu 1,000 jimbo la Bukoba Mjini ni ishara ya kuwa Dr. Slaa hawezi kushinda chaguzi hii...Nitafafanua...na yawezekana ni kwa sababu ya mchezo mchafu.......
Jimbo la Siha lipo mkoa wa Kilimanjaro ambalo ni ngome ya Chadema na tungelitegema ifanye vizuri lakini haikuwa hivyo...............Mgombea wa ubunge wa Chadema Mhandisi Tuni niliongea naye jana kwa simu na aliniambia kulikuwepo na uchakachuaji wa matokeo mkubwa na alitaja ununuzi wa shahada za wapigakura kuwa ndiyo kiini cha Chadema kushindwa kwenye uchaguzi huo.......
Jimbo la Babati Mjini nilienda huko kabla ya uchaguzi na wengi niliongea nao ndani ya CCM walisema Dr. Slaa angelishinda kura za uraisi ila ubunge na madiwani CCM ingeendelea kutesa..sasa ni nini kimetokea hadi JK akalishinda jimbo hili kwa kura takribani 5,000 zaidi ya Dr. Slaa.....ni maswali yanayodai majibu ya haraka sana......
Jimbo la Bukoba Mjini nalo linatia mashaka mno........Dr. Slaa kamshinda JK kwa karibu kura 1,000 lakini Lwakatare wa Chadema kashindwa kwa karibu kura 600 hivi...............How comes na tunajua wapigakura wetu walivyo wapenzi wa mafiga matatu?
Haya majimbo yanatia wsiwasi kuwa kura zimechakachuliwa kumbeba JK tu sioni maelezo mengine