Elections 2010 Matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume hatuyatambui

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Kiukweli inauma sana kwa kitendo ambacho tume wanakifanya sasa hii,, halafu hawana hata aibu hawa wanasheria kwa mfano lewis Makame, anafikiri watanzania ni mambumbumbu kiasi cha akufikia kutudanganya vitu tunavyo vijua na tuna ushaidi navyo

Mimi nasema Dr. Nenda kashinikize uxchaguzi huu urudiwe kwa gharama yeyote,, kama inawezekana wakodi tume kutoka KENYA,, na kama haiwezekani basi achukuliwe muwakilishi kutoka UN ili haki itendeke..

Maana hawajamaa wamezidi kuchakachua kura
 
we unaota kakahakuna mwangalizi atakayekuja mkakubali. TUME ipo safi wamepewa nguvu na kikwete hawaingilii kama ilivyokuwa kabla. NEC oyee, ila chadema mli overlook mkajua mkwere mtamtoa kwa majungu mwenzenu kafika nchi nzima kuomba kura nyie majibo sijui mia tu mkachoka. Uchaguzi urudiwe wote na madiwani, wabunge na RAIS 2015 au sio
Maana hawajamaa wamezidi kuchakachua kura[/QUOTE]
 
kama ni mganga wa CCM ni kiboko,, na kama nyota ya CCM ni jua,, yaani kama bahati basi hawa yao ni........
 
Katafute JIPU la kutumbua then... Acheni UTOTO wenu!

Hivi pipoz pawa imeishiwa wapi jamani? Au ilikuwa ngonjera na taarab tu za kufurahishana?
 
scan.jpg hivi ndivyo ccm walivyo tupiga gape jamani hawana hata aibu,, eti na sisi tunashangilia tusivyo vijua
 
Katafute JIPU la kutumbua then... Acheni UTOTO wenu!

Hivi pipoz pawa imeishiwa wapi jamani? Au ilikuwa ngonjera na taarab tu za kufurahishana?

Kwa hiyo unahamasisha Peoples power? unadhani utakuwa salama wewe? waulize Arusha, Mwanza na Mbeya utajua maana yake, hata polisi unaowategemea walifyata mikia. Acha uchochezi wa kipuuzi wewe.
 
power it is there it will never last, mnasikia nyie vihiyo, hivi mna jumla wa askari wangapi wanajesh+polisi+magereza!we unajua nguvu ya uma au unaongea upupu!sisi hatutaki vurugu, ingawa nyie na makme wenu pa1 na kiwete mnawalazimisha wananchi,kinachowafanya hawa vihiyo wasitangaze matokeo ya urais kuanzia majimboni ni nini na kwa nini takwimu za mawakala na nza nec zinatofautiana,
kila lenye mwanzo lina mwisho na tutauona hapa hapa kabla yawewe kuku na sisi kuondoka hapa duniani!shenzi taipu!
 
hahahaha kikao cha .... nini

anapata baraka za hao masikini hap, tena wenye njaaa kali, am woried km linaclick kichwani mwa huyu chalii au laa. na ana mpango gani kuhusu nchi hii na mafisadi na wasiowajibika
 
katafute jipu la kutumbua then... Acheni utoto wenu!

Hivi pipoz pawa imeishiwa wapi jamani? Au ilikuwa ngonjera na taarab tu za kufurahishana?

kama huajaiona huta iona maana inaonyesha huna uwezo wa kuona, ndio maana hata umaskini wako huuoni hadi unang'ang'ania ccm. Pambafu!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo unahamasisha Peoples power? unadhani utakuwa salama wewe? waulize Arusha, Mwanza na Mbeya utajua maana yake, hata polisi unaowategemea walifyata mikia. Acha uchochezi wa kipuuzi wewe.

Teh teh teh!!!!! Sasa sherehe za kumuapisha Paroko wetu ni lini? Teh teh teh!!!!!
 
Hivi jamani mumeona ya Geita? jamani hawa NEC mbona wanakula Pesa zetu tuu,, na hawa nao ni mafisadi wakubwa nawao waundiwe tume kabisaaaa
 
Hatuyatambui kabisahayo matokeo,, na Leo Slaa ametoa Tamko kwamba hatumtambui Kikwete, kabisaaa na siyo raisi wetu labda wa CCM lakini si people powers
 
hahahahahahaha Kudadeki huna nianzuri na mimi hahahaha poa tuu roho inauma lakini uhai mtamu Muheshimiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom