Elections 2010 Matokeo ya Urais Yanayotangazwa na NEC yana Harufu ya Uchakachuaji

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya kusikitika. Wanaoweza kuwasaidia wananchi ni Chadema yenyewe na wanaharakati. Lazima hatua stahili zichukuliwe ili ikiwezekana zoezi la kuhakiki na kuhesabu kura lifanyike upya ili haki itendeke. Inawezekana ni kweli kwamba kikwete ameshinda lakini siamini kama amemshinda Dr. Slaa kwa tofauti kubwa kiasi hicho. Chonde chonde viongozi wa Chadema chukueni hatua wananchi tupate amani.
 
Matokeo ya Urais Yanayotangazwa na NEC yana Harufu ya Uchakachuaji

Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya kusikitika. Wanaoweza kuwasaidia wananchi ni Chadema yenyewe na wanaharakati. Lazima hatua stahili zichukuliwe ili ikiwezekana zoezi la kuhakiki na kuhesabu kura lifanyike upya ili haki itendeke. Inawezekana ni kweli kwamba kikwete ameshinda lakini siamini kama amemshinda Dr. Slaa kwa tofauti kubwa kiasi hicho. Chonde chonde viongozi wa Chadema chukueni hatua wananchi tupate amani.​

Hii mbona ni thread yangu...can't you at least acknowledge my work.........................plagiarism is a work of a copycat and a copycat never learns...........
 
This is my thread....umeichakachua without even acknowledging.............we call it plagiarism............
 
Hii mbona ni thread yangu...can't you at least acknowledge my work.........................plagiarism is a work of a copycat and a copycat never learns...........

Nimeipenda hii, ingekuwa ni theses basi huyu mwenzetu kafutiwa kazi nzima!
 
Kalaghabaho na tabia yako ya kuangalia nani kaandika nini!! hata hivyo sishangai sana baada ya kubaini kuwa wewe ni " kwa kweli infwact, nshomile, ...". Jamani ebu someni hata hutu tuandishi tu tulivyo na harufu ya ushomile "I am a public policy analyst based in Arusha, Tanzania".
 
Tatizo ni baadhi ya watanzania wachache wenye kitu kama mtindio hivi ndio wanaosapoti huu wizi
 
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya kusikitika. Wanaoweza kuwasaidia wananchi ni Chadema yenyewe na wanaharakati. Lazima hatua stahili zichukuliwe ili ikiwezekana zoezi la kuhakiki na kuhesabu kura lifanyike upya ili haki itendeke. Inawezekana ni kweli kwamba kikwete ameshinda lakini siamini kama amemshinda Dr. Slaa kwa tofauti kubwa kiasi hicho. Chonde chonde viongozi wa Chadema chukueni hatua wananchi tupate amani.

Hivi wewe uko Tanzania hii au Marekani kama wenzio wengi. Kwa kukusaidia ni kwamba siasa za Tanzania bara ziko hivi : Watu wanapiga kura kumchagua mtu na si Chama. Just do little hommework na utajua ninachokwambia, ndiyo maana hata Chadema imependwa zaidi baada ya kumteua Dr Slaa kugombea nafasi ya Urais. Ni credibility ya Dr. Slaa as a person that have made a very good contribution to ChademaM thanks 2him.
 
Soma thread yangu then linganisha na ulichoandika. Naona kama upo "off point". Pole sana!
 
Back
Top Bottom