Elections 2010 Matokeo ya urais - Kwa mujibu wa mwananchi.co.tz

zawadi1

Member
Nov 1, 2010
6
0
matokeoawali.jpg
 
JK anaongoza kwa mujibu wa NEC kutokana na majimbo machache ambayo yametajwa..ila tusiwe na wasiwasi kwani wametaja tuu ngome za CCM na CUF...bado hawajataja majimbo ya wajanja...
 
Jamani kwa mujibu wa NEC na ZEC, Rais Kikwete na Dk.shein tayari wameshashinda na wanasubiri kuapishwa tu siku ya ijumaa.

Wengine wakubali matokeo tu,hakuna uchakachuaji
 
jk anaongoza katika majimbo kumi tu kutokana na matokeo rasmi bado safari ndefu tusiconclude wadau
 
Wameona waanze na ya CCM wakati wanachakachua yale ya CHADEMA.
Wanadhani sisi watoto
 
Hata TANGA Prof.Lipumba anashindwa kupata kura za kutosha na JK anaongoza majimbo yote hayo hamuoni kuwa hiyo ni dalili mbaya kwa upinzani
 
Jamni tusilete mzaha kwenye issues ambazo ni nyeti, huku nje tunawategemea huko nyumbani mtupe taarifa.
 
Hata TANGA Prof.Lipumba anashindwa kupata kura za kutosha na JK anaongoza majimbo yote hayo hamuoni kuwa hiyo ni dalili mbaya kwa upinzani

kulikuwa na sababu yoyote ya kuanza na tanga etc? na haya mambo ya kuchukua masaa 24 kutangaza majimbo kumi tu yanaashiria nini?
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO MAJIMBO KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja :smile-big:
 
davifrs View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact Send Email
Junior Member


--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Sun Dec 2009
Posts 2
Thanks 0
Thanked 6 Times in 2 Posts Rep Power 0
 
Back
Top Bottom