Elections 2010 Matokeo ya urais bongo vipi?

Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,097
1,363
Jamani vipi matokeo ya urais bongooo????kuna nini kinaendelea????Tumepiga kura siku moja na Brazil,wenzetu wameshapata rais wao na kura zilihesabiwa na kupatikana mshndi just in two days na population yao ni kwenye 200m wakati sie tupo kwenye 40m.....TUME YA UCHAGUZI MNAFICHA NINI????Na urongo zaidi ETI wasimamizi wa kimataifa wanasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Vipii matokeo ya urais yachukue more tha 3 days!!!!!:A S-baby:
 
Ndiyo taabu ya kuwa na tume ya uchaguzi inayomtumikia "bwana mkubwa"! Mpaka atakaporidhika na idadi ya kura anazotaka ndio yatatangazwa! African politics always a nightmare!
 
matokeo yatatangazwa next month maana kuna majimbo bado matokeo hayajatolewa.
 
bado wanapika matokeo.sehemu nyingi ne wanatumia kuni kwani kupika chuma si mchezo. naomba uwe na subira kama ulivyowavumilia miaka 50. wenzetu wanaenda mbele sisi tunarudi nyuma
 
NEC ni ya CCM sasa wanayapika na kuchakachua results ili boss wao ashinde, ETI HATA LIPUMBA ANAMZIDI Dr SLAA..!!!? eeeeeehhhh kweli mwizi hachagui akuibie nini, NILIAMBIWA MWIZI AKIKOSA CHA KUIBA ATACHUKUA KOFIA YAKE NA KUIWEKA MAHALA WATU WASIMWONE KISHA ANAENDA KWA SPEDI PAAAAAAP NA KUICHUA THEN ANAKIMBIA NAYO, ILI TO PRACTICE UWIZI, KUTULIZA MUNKARI YA UWIZI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom