Matokeo ya urais baada ya siku tatu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya urais baada ya siku tatu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Raia Fulani, Oct 28, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa nec jaji makame aliwaambia waangalizi wa kimataifa kuwa matokeo ya urais ni hadi nov 3. Haya mazingira yatakuwa salama? Scm si wanaweza chakachua sana hawa? Ila matokeo ya ubunge na udiwani yanaweza kuwaumbua
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hp ndipo patakuwa pazuri na hataweza kurekebisha, kwani watu watakuwa na idadi ya majimbo yote yeye itakuwa ni kuitaja jumla ambayo tayari inajulikana
   
Loading...