Matokeo ya Urais 2010 bado ni siri ya NEC!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Urais 2010 bado ni siri ya NEC!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by awtu, Jan 5, 2011.

 1. a

  awtu Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa 2010 (ya Rais) bado hajaainishwa na NEC katika tuvuti yao miezi miwili tangu uchaguzi uishe. Sababu? Mara mtandao wa computer hauna uwezo, mara sikuku hizi, mara wako likozoni, mara...nk
  Huko Malawi iliwachukua siku 9 tu kuweka mambo yote wazi kwa kila mtu.
  Source: Raia Mwema- Muungwana na Kitendo ya leo tarehe 5 Januari, uk 3

  Je, hili mnalonaje wanachama wa JF?
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama wewe ni mtanzania kweli unayejua nchi yako hili si la ajabu. Katika hali ya kawaida, ni kawaida kwa mambo kwenda ovyo Tanzania. Yakienda vizuri tunashangaa, so nothing new on this. Unataka waweke matokeo hayo ili watu waanze kulalamika kuhusu uchakachuaji? acha kwanza watu wasahu ije issue nyingine halafu ndio mtandao utakuwa na nguvu.
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Walichakachua hadi wameshindwa kuweka vizuri mahesabu
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Hawakumbuki walichokuwa wanatangaza that y hawaweki
   
Loading...