Elections 2010 Matokeo ya ukweli haya hapa sasa

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13

1. Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA

2. Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA

3. Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF

4. Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA

5. Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA

6. Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA

7. Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA

8. Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA

9. Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA

10. Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA

11. Ilemela - Haines Samson- CHADEMA

12. Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA

13. Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA

14. Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA

15. Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA

16. Rombo- Julius Selasini - CHADEMA

17. Kasulu mjini- Machali Moses - NCCR

18. Masasi - Clara Mwatuka - CUF

19. Arumeru Magharibi- Mathias Ole Kisambu- CHADEMA

20. Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP

Arusha mjini - CHADEMA
Singida mjini - CCM - Mohammed Dewji
Moshi mjini - CHADEMA - F. Ndesamburo
Peramiho - CCM - J . Muhagama
Kigoma mjini - CCM - P . Serukamba
Kigoma vijijini - CHADEMA - Zitto Kabwe
Sumbawanga mjini - CCM
Kongwa -- CCM
Mpwapwa - CCM
Mbarali - CCM
Korogwe mjini - CCM - J . Makamba
Urambo magharibi - CCM - Prop J. Kapuya - watu wawili wafuasi wa CCM wamefariki dunia kutokana na fujo zilizo tokea huko.

wewe ni muongo sanaaaaa
usifikiri ss ni wajinga hap
waliokufa walipata ajali na wala sio vurugu ukome kabisa ndio maan umejiunga hap nov
soma hapa kwanza ndio uanze kupost ujinga wako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18042-jamiiforums-rules.html

Kwa kuongezea,
Mwanga - CCM
Meatu - CHADEMA
Maswa - CCM
Nyamagana - CHADEMA
Iringa mjini - CHADEMA

matokeo ya ukweli...j.makamba kagombea korogwe mjini?

jf imevamiwa jamani.........watu wanachakachuwa hata hapa jf.......hahahahahah

Kwa kuongezea,
Mwanga - CCM
Meatu - CHADEMA
Maswa - CCM
Nyamagana - CHADEMA
Iringa mjini - CHADEMA

Nina mashaka na akili yako kama ina akili vizuri nani kakwambia Maswa imechukuliwa na CCM? Kwa taarifa yako Majimbo yote ya Maswa yaani Mashariki na Magharibi yamechukuliwa na CHADEMA.

Source: BBCswahili Ustream, www.mwananchi.co.tz, wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi, majimbo yaliyotwaliwa na vyama vya upinzani mpaka sasa ni :
1. Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2. Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3. Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4. Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5. Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6. Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7. Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8. Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9. Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10. Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11. Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12. Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
13. Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
14. Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
15. Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
16. Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP
17. Rombo- Julius Selasini - CHADEMA
18. Kasulu mjini- Machali Moses - NCCR
19. Arumeru Magharibi- Mathias Ole Kisambu- CHADEMA
20. Mbulu- Mustafa Akoonay- CHADEMA
21. Ubungo DSM- John Mnyika -CHADEMA.
22. Karatu - Mch. Israel Natse -CHADEMA.
23. Kasulu vijijini- Agripina Buyozera- NCCR.
24. Mbozi mashariki- David Silinde - CHADEMA.
25. Singida mashariki- Tundu Lissu- CHADEMA.
26. Kawe DSm- Halima James Mdee - CHADEMA.
27. Kilwa kusini - Bungara Said - CUF.
28. Muhambwe Kigoma - Felix Mkosambali - NCCR

Mwenendo wa kura katika Jiji La Dar-es-Salaam na Jiji La Arusha:
The results in some stations are as follows:
DAR ES SALAAM REGION
Ilala constituency TFC centre, Kariakoo Ward: Presidential election: Jakaya Kikwete of CCM got 222 votes, Prof Ibrahim Lipumba of CUF got 480 and Chadema's Dr Wilbrod Slaa got 24 votes. Parliamentary election: Iddi Azan Zungu of CCM (224), Peter Siyovelwa of CUF (35) and Naomi Kaihula of Chadema (19).

Jangwani Bondeni centre:
Presidential election: Dr Jakaya Kikwete (64), Dr Wilbrod Slaa (25), Prof Ibrahim Lipumba (23). Parliamentary election: Mussa Azan Zungu of CCM (78), Peter Siyovelwa of CUF (29), Naomi Kaihula of Chadema (9), Asia Hussein of NLD (1), Juventina John of NRA (1).

Police Post Centre, Jangwani Ward:
Presidential: Dr Jakaya Kikwete (462), Prof Ibrahim Lipumba (115), Dr Slaa (110), Mr Fahmi Dovutwa - UPDP (1), Mr Hashim Rungwe -NCCR-Mageuzi (1). Parliamentary: Mussa Azan Zungu - CCM (419), Peter Siyovelwa - CUF (118), Naomi Kaihula -Chadema (111), Asia Hussein - NLD (1) and Ngowi Alfayo - SAU (1).

Temeke Constituency:
Mgulani A2 station, Miburani Ward: Presidential election: Dr Jakaya Kikwete (85), Dr Wilbrod Slaa (52), Prof Ibrahim Lipumba (9). Only 144 out of 491 registered voters turned out.

Mgulani Primary School: BA2 station
Presidential election: Dr Jakaya Kikwete (61), Dr Wilbord Slaa (48), Prof Ibrahim Lipumba (10). Some 144 people were registered for the elections out of whom 120 turned out.

Police Post: Station 3
Presidential election: Dr Jakaya Kikwete (100), Dr Wilbrod Slaa (34), Prof Ibrahim Lipumba (24). Parliamentary election: Mr Abbas Mtemvu - CCM (95), Dickson Ng'hilly - Chadema (32), Kadawi Limbu - CUF (28).

Segerea Constituency:
Mtakuja Centre, Vingunguti Ward: Presidential election: Dr Jakaya Kikwete (215), Dr Wilbrod Slaa (141), Prof Ibrahim Lipumba (130).

Kawe constituency: (Msasani ward)-Tirdo station:
Presidential: Dr Jakaya Kikwete (CCM-392), Dr Wilbrod Slaa (Chadema-237), Hashim Rungwe (NCCR Mageuzi-1) Prof Ibrahim Lipumba (CUF-90). Parliamentary: Angela Kizigha (CCM-343) Halima Mdee (Chadema-228), Matayo Shaban (CUF-103), James Mbatia (NCCR-Mageuzi-36) and Nathanael Mlaki (APPT -Maendeleo-2).

Tirdo C3 station:
Presidential: CCM (75), CUF (25), Chadema (40), APPT-Maendeleo (1) the rest got 0 each.

Sinza ward- Nice polling station:
Presidential: CCM (373), Chadema (537). Parliamentary: Hawa Ng'umbi (CCM-275), John Mnyika (Chadema-607).

Ubungo Dispensary:
Presidential: CCM (203),Chadema (21). Parliamentary: Hawa Ng'umbi (CCM -111) John Mnyika (Chadema- 237) and Julius Mtatiro (CUF-47).

Jangwani Ward:
Presidential: CCM (462), Chadema (110), CUF (115). Parliamentary: Mussa Zungu (CCM-419), Naomi Kaihula (Chadema- 111).

From Arusha: Kaloleni Ward-A1:
Presidential: CCM (59), Chadema (112), CUF (4). Parliamentary: Dr Batilda Buriani (CCM-54), Godbless Lema (Chadema- 113), Balawi Balawi (CUF-4) and Maximilian Lyimo (TLP-1).

A2:
Presidential: CCM (76), Chadema (119), CUF (2). Parliamentary: CCM (71), Chadema (120), CUF (2), TLP (4).

A3:
Presidential: CCM (67), Chadema (104), CUF (1). Parliamentary: CCM (62), Chadema (109) and TLP (2),

A4:
Presidential: CCM (65), Chadema (109), CUF (0) Parliamentary: CCM (63), Chadema (111), CUF (7).

B1:
Presidential: CCM (67), Chadema (118), CUF (5). Parliamentary: CCM (61), Chadema (121), CUF (3) and TLP (4).
N.B
These are results registered by Daily News late on Sunday 31/10/2010 Daily News | Three parties lead in exit polls

Arusha wamefanya kazi nzuri saana, yale mabilion yote CCM waliyomwaga kule wameambulia patupu, Dr Slaa pamoja na kufanyia kampeni zake kwenye Toyota Hilux ya mwaka 1992 lakini watu mamemkubali hii yote ni kuonyesha jinsi watu walivyo makini na kuwa na msimamo, Kijana Bagamoyo zidi kutulea habari njema.

Source: BBCswahili Ustream, www.mwananchi.co.tz, wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi, majimbo yaliyotwaliwa na vyama vya upinzani mpaka sasa ni :

Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA

Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA

Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF

Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA

Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA

Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA

Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA

Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA

Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA

Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA

Ilemela - Haines Samson- CHADEMA

Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA

Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA

Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA

Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA

Vunjo - Augustino Lyatonga - CHADEMA

Hii namba 16 ni breaking news??au kahama leo kutoka TLP?au siye Lyatonga nayemjua mzee wa kiraracha?

Source: BBCswahili Ustream, www.mwananchi.co.tz, wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi, majimbo yaliyotwaliwa na vyama vya upinzani mpaka sasa ni :
1. Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2. Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3. Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4. Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5. Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6. Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7. Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8. Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9. Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10. Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11. Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12. Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
13. Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
14. Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
15. Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
16. Vunjo - Augustino Lyatonga - CHADEMA
Tafadhasali msee ondoa uchuro wako hapo chuu kweliiii

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom