safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,839
Sahihi mkuu nakubaliana na wewe katika hili kwamba MD lazima awe na maarifa mengi kuliko COC. O ana shallow knowledge kwenye baadhi ya vitu mfano parasitology, medical microbiology.. Pathology huo ni mfano tu C. O anahtaji miaka sita tena kusoma Bachelor
C. O ana uwezo wa kutibu lakini uwezo wake hautofanana na MD, utofauti wao utakuja pale ambapo CO atakua amefanya kazi muda mrefu... Na more experience kuliko new MD...
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app