Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozi inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wapi waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O ni kama advanced Diploma
Co sio Daktari, Ukitaka udaktari lazima usome Md
 
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozo ya NACTE inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wako waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O anamzidi C.O,A.M.O ni advanced Diploma
hapa unaweza kukuta tunabishana na dogo wa form4 aliyefeli anasubiri kwenda kusoma CO ajiite daktari , maana inaonekana hata haelewi kinachoendelea kwenye ulimwengu wa medicine , tumuache tu

nakazia pia, CO sio daktari
 
Mimi ni Co serikalini, mwaka wa 3 kazini natambua Co sio daktari mpaka kusoma Md mbeleni Inshallah
 
Mkuu pambana upate nafasi......Na mara nyingi C.O wengi wa serikalini wakienda MD,hupenda tena hadi super specialist.......kila la kheri mkuu
 
bwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.
Kama hujui vitu uliza tukueleweshe usiongee ujinga hapa. na kwa taarifa yako kuna vyuo CO wanafundishwa na AMO , nchi ngumu sana hii.
Huyo Danpol ni mpuuzi na hajui kitu! Nadhani kaishia vidudu tu. Yeye anadhani serikali imlipe Prof afundishe Clinical medicine! Hajui mtu anafundishwa na level moja mbele yake. Au aliiba vyeti
 
Kaka, mtu akining’iniza stethoscope tayari anaamini yupo daraja moja na walimu wake.!
Pathetic!
 
hapa unaweza kukuta tunabishana na dogo wa form4 aliyefeli anasubiri kwenda kusoma CO ajiite daktari , maana inaonekana hata haelewi kinachoendelea kwenye ulimwengu wa medicine , tumuache tu

nakazia pia, CO sio daktari
naomba na mimi kukazia tena kwa herufi kubwa CO SIO DAKTARI, njooni nipigeni sasa

Nendeni shule acheni upuuzi
 
Watu hawewezi kua na elimu sawa sababu wanafanya kazi sawa elewa hili............
MD ni doctorate degree anayopewa mtu baada ya kumaliza kozi ya doctor of medicine........MD anaweza kufanya kazi ya utabibu na hakuna kazi ya udaktari duniani
Udaktari ni nini ?
 
Watu wanaweza kufanya kazi ile ile kwa matokeo tofauti na hii ndio maana ya kua CO sio daktari
emoji16.png
emoji16.png
emoji38.png

MD haitwi,daktari sababu anatibu.......ni sababu amesomea hio fani.........doctor ni awarded unclassified degree.......
MD KWA kiswahili anaitwa nani ?
 
Kama hujui kazi ya MD na CO hadi sasa,ni veme ukajifunza,ubishi hautakusaidia
Hapa hatubishani tunawekana sawa mzee.

Kuna limitations zipo na hiyo ndio maana ya kuwa na tofauti baina ya levo moja na nyingine ya elimu.

Lakini hayo hayafanyi hao watu wasiwe na malengo mamoja
 
MD KWA kiswahili anaitwa nani ?
MD....sio mtu ni degree ni academic professional hio watu husomea....mtu aliyemaliza kusoma MD huitwa,doctor.........mtu mwengine anayeweza kuitwa doctor kwa sababu yeyote ile ni mwenye PhD......hata hivo CO sio daktari
 
Hapa hatubishani tunawekana sawa mzee.

Kuna limitations zipo na hiyo ndio maana ya kuwa na tofauti baina ya levo moja na nyingine ya elimu.

Lakini hayo hayafanyi hao watu wasiwe na malengo mamoja
Medical attendant kuwa na malengo sawa na CO hakumfanyi M.A kua CO
CO kuwa na malengo sawa na MD,hakumfanyi CO kuwa MD.
 
Huyo Danpol ni mpuuzi na hajui kitu! Nadhani kaishia vidudu tu. Yeye anadhani serikali imlipe Prof afundishe Clinical medicine! Hajui mtu anafundishwa na level moja mbele yake. Au aliiba vyeti
Mimi Dsm nilivyomaliza Co nilipiga pindi chuo cha private cha Ca nilifundisha miaka 2 kasoro. Utafiti wangu Co wanafundishwa na AMO na Md, mfno chuo nilichosomea cha serikalini Amo na Md karibu wote ila Specialist alikuwa mmoja Gynaecologist ambaye alikuwa mkuu wa chuo na kufundisha alikuwa akifundisha mara chache sana baadae akachukuliwa wizara ya Afya kitengo cha Mafunzo sasa hivi yupo huko, nyuma yake alikuwa mmama Paediatrician ila na yeye alichukuliwa wizarani. Ila almost wakufunzi ni Amo na Md zaidi ya asilimia 98 ukikuta specialist labda wakuu wa vyuo na mara nyingi hawafundishi. Hicho chuo cha Ca, Co tulikuwa 2 tukifundisha first yr, Amo-2 na Md-3

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Angalau wewe una mwanga. Katika ufundishaji kuna ngazi zake. Na katika vyuo kuna matabaka.
i. Vyuo vyote ambavyo vinatoa diploma, kada zake ni Tutors. Na Tutor ni yule ambaye ana Bachelor Degree.
ii. Vyuo vinavyotoa degree, kada zake ni Lecturers na Lecturer lazima awe na PhD. Chini yake ni Assistant Lecturer (Masters) na juu yake ni Senior Lecturer (PhD with publications, Research and Consultancies). Associate na mwisho Full Prof.

Kwa vyovyote vile ni utovu wa nidhamu Prof kufundisha NTA level 4. Imagine mtu mshahara wake ni million 7 afundishe Clinical Medicine ambapo unapata karibu MD wanne! Aidha huyo Prof atakuwa anawaconfuse wanafunzi. Likely usisahau CO ni CBET na maprof wengi hii kitu ni ndoto kwao. Usisahau kuwa Moja wapo ya takwa la CBET ni kuwa mkufunzi lazima awe mbobezi kwa vitendo katika industry na kwa mantiki hiyo, mtu wa kufundisha CO lazima awe ashaboboa katika kutibu wagonjwa. Na CO wanaenda katika zahanati, ulishawahi kuona Prof anatibu katika zahanati huko igunga?

In fact hata CO anaweza kufundisha TU NTA level 4. Hawezi kufundisha NTA l5. Niendelee au?
 
Kwahio unataka kusemaje...
 
Back
Top Bottom