Matokeo ya uchunguzi dhidi ya Regnald Mengi!!!!


Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,173
Likes
2,212
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,173 2,212 280
Wana JF nimekuwa najaribu kusubiri nisikie majibu ya uchunguzi unaofanywa na PCCB na Jeshi la polisi kuhusiana na matamshi ya Mengi kuwataja Viongozi katika sekta ya usalama wa nchi yetu na watu mbali mbali kuwatuhumu kwamba wameshiriki katika njama za kumchafua kwa kumbambikiza mwanae madawa ya kulevya.

1. Naomba kuuliza kama kuna mtu anafununu kama matokeo yeyote ya uchunguzi yametolewa?

2. Kama bado kwanini wanachelewa kupata ukweli hasa ukichukulia bwana mengi alisema ana ushahidi? binafsi nahisi huu ushahidi ungerahisisha sana kazi ya uchunguzi

3. Je hawa viongozi waliotajwa wamemshtaki?, hasa ukichukulia kwamba amewachafua sana majina yao maana aliwataja kwa majina.

4. Ikiwa ni kweli aliyoyasema Mengi, je kuna umuhimu wa kurudia kufanya uchunguzi wa kesi za watu woote waliokamatwa na madawa ya kulevya kwani yaweza kuwa walionewa lakini hawana uwezo kama wa Familia ya Mengi kuikwepa hii fitina.

Naomba mwenye updates zozote anijaaliye maana nasubiri sana kuona Mengi anashitakiwa kwa kuwachafua Viongozi wa serikali yetu tukufu au Serikali yetu tukufu inajiuzuru kwa kuweka watu wanaoweza kununuliwa kukandamiza wananchi kinyume na matarajio ya Wananchi.
 
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
2,641
Likes
8
Points
135
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
2,641 8 135
Plz ndugu, unataka nini zaidi ya kuwabadilishia hawa ambao Mengi aliwatuhumu posts zao! This is africa and we don't expect you ask more questions. Plz go no further coz wananchi hawana interest na hili!!!!! tehe tehe...:whoo:
 

Forum statistics

Threads 1,235,533
Members 474,641
Posts 29,225,795