Matokeo ya uchaguzi yasaidia kukua kwa msamiati kuchakachua

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
Wana lugha nahisi msamiati kuchakachua umekuwa ni msamiati uliokuwa na kutumiwa sana katika lugha yetu ya taifa na kuwa ni msamiati uliopata umaarufu kwa kipindi kifupi,na kukua kwa msamiati kuchakachua kumesaidiwa na matokeo ya uchaguzi
 
Chakachua ni neno la zamani... Kuna bendi ya mziki ilikuwa inatumia mtindo wa kucheza mziki ujulikanao kama CHAKACHUA! Enzi zile za Kamanyola bila jasho. Nadhani Bendi iliyokuwa ikitumia mtindo huo ni Urafiki Jazz, ila sina uhakika sana.
 
Ni kama nyerere kipindi anastaafu alivyotumia Neno Kung'atuka. Je hiki kilikuwa kizanaki au ni neno halali la kiswahili lilikuwepo kabla ?
 
Kung'atuka ni neno la Kiswahili. Maneno mengi ya Kiswahili hatuyatumii.
 
Chakachua ni neno la zamani... Kuna bendi ya mziki ilikuwa inatumia mtindo wa kucheza mziki ujulikanao kama CHAKACHUA! Enzi zile za Kamanyola bila jasho. Nadhani Bendi iliyokuwa ikitumia mtindo huo ni Urafiki Jazz, ila sina uhakika sana.

Yeah I believe it was Urafiki as well, nimekuwa nikijaribu kukumbuka hii bendi, for some reason nikawa nafikiri Dar International lakini nikasema hapana. Ahsante kwa kunikumbusha, siku nyingi kidogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom