Matokeo ya uchaguzi ya nec yatafanana na ya observers? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya uchaguzi ya nec yatafanana na ya observers?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 8, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ktk uchaguzi ujao kutakuwa na waangalizi wa nje na ndani wa uchaguzi,wao pia watashiriki pia ktk zoezi zima la kuhesabu kura ktk vituo mbalimbali,je matokeo ya waangalizi pia yatangazwe kuona kama yale ya nec hayajachakachuliwa?
   
Loading...