Matokeo ya Uchaguzi (vituoni) Mkoa wa Ruvuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Uchaguzi (vituoni) Mkoa wa Ruvuma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ilumine, Oct 31, 2010.

 1. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  URAIS
  Kituo: Shule ya Msingi Peramiho "B" KATA YA MAPOSENI
  CHADEMA 116
  CCM 82
  CUF 1
  APPT 1

  UBUNGE: CCM imemwacha CUF mbali sana. Jenista Mhagama anaongoza.

  Kituo: Jengo la Maarifa ya Nyumbani: KATA YA MAPOSENI
  URAIS:
  CCM 147
  CHADEMA 42
  UBUNGE: KAMA HAPO JUU
   
 2. k

  kilimajoy Senior Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio mbaya twende nao tuu!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mods tupeni chart jama!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona MOD atakuwa ameshadata kwa mtiririko huu wa matokeo.
  Pole MOD ndo ukumbwa huo baada ya week mambo yataoa
   
 5. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo chat iliwekwa itasaidia sana kutuonesha upepo unaelekea wapi.
   
Loading...