Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi Tanga

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,010
Source Channel Ten through Msimamizi

Wakuu Mkinga haya

CUF- Mbege 11,252
CCM- Kitandula 19,667

Udiwani
CUF- 7 kata
CCM- 14 kata

Uraisi
CHADEMA- 1,083
CUF- 1,480
CCM- 22,803

Muheza
Kata zote 33 wamechukua CCM

Handema
Kata 23 zimekwenda CCM ubunge na uraisi

Pangani

Pamba CCM - Kura 9,342
Omari- CUF -4,521
 
wala urojo hao hawana ishu........tunataka wala samaki kama mwanza bana.....
Slaa the next preziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara mchuano ni CCM vs CUF, chadema hatukuweka efforts za kutosha maeneo haya. siku zijazo tusiache any stone unturned!
 
Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara mchuano ni CCM vs CUF, chadema hatukuweka efforts za kutosha maeneo haya. siku zijazo tusiache any stone unturned!

Mkuu CHADEMA walishapima upepo wakaona wala wasiingie gharama zisizo za lazima. Ukanda huo wote ulikuwa na kampenzi za misikitini ambazo huwezi kumshawizi mtu wa aina hiyo kwa namna yoyote ile pale anapotangaza jihad.
 
iyagilo huna mpango, acha UDINI huo ni ujinga!!!!!!! sisi ni wapenzi wa SLAA lakini hatuweki dini mbele kama unavyofanya kwa ujinga wako na waislam wakiuliza majimbo yote wanayoongoza CHADEMA ni yenye wakristo wengi tena WAKATOLIKI acha uzembe
 
ndo ukweni kwangu,duuh kweli wakwe wanaipenda ccm ngoja na mimi nianze kuipenda
 
waislam wamepiga hivi wakiwa na imani ya ahadi ya OIC na mahakama ya kadhi! wakigundua kuwa ni garasha watachoka wenyewe. Ninaona udini umeishachukua sehemu yake TZ na matokeo ya pwani yana reflect. Halafu najiuliza 2015 CCM watachagua tena mwislamU?

Interesting.......
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Na bunge la mwaka huu si la kuburuza tena. Suala la mahakama ya kadhi na OIC wasahau kabisa. Nasikia hizo ndo zilikuwa kampeni za Makamba huko misikiti akiwadanganya hivyo.

Mhhhh......
 
wala sishangai kwani pwani yote inanuka udini. wanawapigia "waswahili" wenzao ili waendeleze uswahili. halafu viongozi wa dini wa kiislam wanajifanya wanasisitiza kuwa watanzania tusichague kwa kuzingati dini. lakini wakiwa ndani ya misikiti wanahamasishana kwamba lazima wawapigie ndugu zao waislam. tutaonana 2015 Mungu akitujalia uzima.

Du.......
 
haya ni mawazo nusu mgando
 
haya ni mawazo nusu mgando
Ndo ukweli wenyewe kwani Viongozi wa Kikristu wengi wanashawishika kwa upuuzi mdogo tu .... mfano Askofu Kulola.
Naamini kuwa mwaka 2015 kizazi kijacho kitaipa nguvu sana Chadema.
 
Kura za mwaka huu ni za kidini zaidi na uislamu mara zote ni easy target lakini kama utasoma between lines dini ndio imeamua nani awe kiongozi safari hii, sasa ni kusubiri kujua dini ipi imeibuka kidedea. Ukabila umechangia lakini kidogo sana ukilinganisha na udini.

Dini zimetoa muongozo mapema sasa matokeo yanaonyesha kilichopendekezwa na dini zinanguvu kuliko vyama bongo, next election dini zitaleta vita bongo manake wananchi hawana uwezo wa kuhoji miongozo na amri za viongozi wao wa dini. Pia mwaka viongozi wa dini pia wanatinga bungeni kama wawakilishi wa wananchi patamu zaidi pale maslahi yatakavyogongana.

Si mpaka tufike huko tukiwa na Tanzania yenye kuweza hata kufanya uchaguzi......Hofu yangu hizi vurugu za kudai matokeo zinaweza kubadilika kuwa vurugu za makundi ya kidini na kuwaka nchi nzima maana mazingira ya kuwezesha hilo tayari yameshaandaliwa.....
 
kwa hiyo wewe unataka watu wakae kimya tu wasizuie wizi wa kura ?
 
Ndo ukweli wenyewe kwani Viongozi wa Kikristu wengi wanashawishika kwa upuuzi mdogo tu .... mfano Askofu Kulola.
Naamini kuwa mwaka 2015 kizazi kijacho kitaipa nguvu sana Chadema.

Ukweli ni kuwa come to 2015...kuna uwezekano mkubwa kuwa CHADEMA itakuwa just another CUF of the "others"......
 
Iyangalo na Rmashauri, kuweni makini sana na kauli zenu,nyie ndio mnatuonesha kwamba mna itikadi za kidini...hivi maeneo ya kaskazini ambako kuna idadi kubwa ya wakiristo,je chadema nayo ilitumia udini kupata kura?maana Slaa kazi ya kutangaza dini ilimshinda akakimbilia maslahi ya siasa...sasa je na waislamu nao wasimame na kusema kwamba tusiwape chadema coz ni chama cha kidini? maana kuna mwehu mwenzenu mmoja aliropoka huko mwanza kwamba tuchague CHADEMA coz ni chama kitakachowasaidia watu wenye imani ya kikristo...kuna muislamu alipigia kelele kauli hiyo?au mtaka kuanza chokochoko...acheni udini bana, na wewe Gosbert eti pwani yote inanuka udini...haya sio maneno ya kuongea...kama tanga wamechagua watu wao wewe kaa kimya hawakuhusu...na wewe Slaa si kakufanyia mambo matamu,mchague tu...we tuache na udini wetu, at least tunayo dini...ukiulizwa wewe hapo dini yako yenyewe hata ktk holy scriptures utata mtupu...kaa kimya bana.
 
Back
Top Bottom