Matokeo ya uchaguzi serikali za mitaa yatangazwa lini rasmi

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
482
176
Mimi mpaka sasa hivi nasubiri matokeo rasmi ya serikali za mitaa kwa nchi nzima. Nasikia tu chama tawala kimeshinda kwa kishindo ila hakuna data za Tanzania nzima.
Wizara inayohusika naona iko kimya bila kusema ni lini itatangaza matokeo hayo kwa inchi nzima, au ndio kila mkoa unajitangazia matokeo kivyake?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar- Mh. Lukuvi ametangaza rasmi matokeo,amabayo yanaonyesha kuwa ccm wameshinda kwa kishindo.Namshauri kwa sasa atafute shule hata Open Un.Aibu mkuu wa mkoa bila elimu tosha-asije kimbia wageni bure.
 
Back
Top Bottom