Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yanatoa picha gani?

Magehema

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
428
27
Ukiacha kufanya vibaya kwa CCM ukilinganisha na chaguzi zilizopita, kuna picha mpya ya upigaji kura inajitokeza. Kuna kila dalili kwamba huko tuendako watu watakuwa wanachagua mtu kutokana na ubora wake yeye kama mgombea na sio kuangalia chama alichotoka. Chukua mfano wa jimbo la Zitto, kwa hesabu za haraka inaonekana wakazi wa jimbo la Kigoma Kaskazini hawakufurahishwa na uteuzi wa wagombea udiwani wa Chadema pamoja na kuwa wamekuwa tayari kumpigia Zitto kura. Kwa mfano Kagera, kuna maeneo wanamkubali mgombea wa CCM kama mgombea ila kweye Urais waeona Dr. Slaa ndio chaguo lao. Sijui wataalamu wa sayansi ya siasa hii hali wanaielezeaje.
 
Back
Top Bottom