Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kigoma

MTOKAJASHO

Member
Oct 22, 2010
12
0
Kweli ule usemi sauti ya watu ni sauti ya Mungu unaanza kushika hatamu jinsi muda unavyo zidi kuyoyoma... Chadema yapeta Kasulu kiti cha ubunge.... ngojea nicheki yanayojiri Kibondo.
 
Hizi counter attack za CHADEMA sijawahi kuziona hata kwenye EPL au bundesliga au spain, ni balaaaaaaaaa!
 
Ubungo, Kawe na Arusha mjini CHADEMA inaongoza
 
Kweli ule usemi sauti ya watu ni sauti ya Mungu unaanza kushika hatamu jinsi muda unavyo zidi kuyoyoma... Chadema yapeta Kasulu kiti cha ubunge.... ngojea nicheki yanayojiri Kibondo.

Mkuu Ni vyema ukaweka Data kama una uhakika na Unachokiandika isije Kesho Tukaonekana JF ni Wazushi, naamini aliyekuoa Taarifa anaweza kukupa na data kamili
 
Ni kasulu ipi? kwani CCM waliweka hawa hapa
Kasulu Urban: Neka NEKA
Kasulu Rural: Daniel NSANZUGWANKO

Sasa ni yupi kapigwa mweleka
 
Kweli ule usemi sauti ya watu ni sauti ya Mungu unaanza kushika hatamu jinsi muda unavyo zidi kuyoyoma... Chadema yapeta Kasulu kiti cha ubunge.... ngojea nicheki yanayojiri Kibondo.

kutoka ITV at 12:30am
Busanda na Geita, CHADEMA inaongoza kwa ngazi zote.

Habari mbaya
Watu wawili wamejeruhiwa vibaya kwa sababu ya fujo baada ya CHADEMA kushinda.:israel:
 
Hizi counter attack za CHADEMA sijawahi kuziona hata kwenye EPL au bundesliga au spain, ni balaaaaaaaaa!
Mkuu Pax labda uzifananishe na ile come back ya Liverpool mwaka 2005 ktk fainali ya Champions League dhidi ya AC Milan!
I said once kwamba it will be like Goliath and David.
When God says yes NO one will ever resist much less mafisadi!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom