Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
Dalili zinaashiria CDM kuibuka na ushindi dhidi ya CCM.

MODERATOR NAYE ANAJARIBU KUCHAKACHUA,,,, UKWELI NI KWAMBA CDM INAONGOZA. KURA ZA VIJIJINI MNAZOZIONA SIO HALISI KAMA ZILIVYO KWENYE MITANDAOOO MBALIMBALI
UKWELI NI HUO, VIJIJINI WAMECHAKACHUA KWA TAARIFA ZILIZO THIBITISHWA
NOTE: THESE ARE NOT OFFICIAL RESULTS
 
katika vituo vitano ambavyo matokeo yametangazwa chadema inaongoza na kwa jumla ni zaidi ya kura 100
 
Itv wametanganja vituo vitano cdm wanaongoza vinne na ccm kimoja.cuf aibu kubwa vituo viwili wamepata sifuri.haya twende.
 
haya ninachokiona hapa matokeo katika vituo kadhaa vya mjini igunga yanaonyesha chadema inaongoza.na hali ni shwari sasa ila viongozi wengi wa ccm wameondoka hapa mjini igunga kila ukupita mitaani sas ni chadema mwendo mdundo. Mjini ndio kuna wapiga kura wengi hapa igunga. Ccm wamekimbia mji hoteliwaliofikia vigogo ipo kimya. Kwa sas nasubiri vituo vya vijijini.

kuna jitu (siyo Wassira) moja la CCM huko lina roho mbaya, silipendi maana lenyewe linajua ushindi kwa CCM tu hata kama watu wafe. hili ni jitu baya sana ambalo kwa kweli linatakiwa kupelekwa The Hegue likabanwe naniliu na plaizi.
 
‎Mpya toka Igunga:

Mh Halima Mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko Choma! Pia aliyekuwa diwani wa Igunga Mama Ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki!

Vigogo wa CCM leo asubuhi wote wametoweka Igunga na kurejea Dar!
 
Status
Not open for further replies.
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom