Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi live

Watu kama nyie ndio mnatakiwa siyo porojo nyiiiiingi, asante sana ndugu yangu kwa haka ka link
 
Hamna noma bandugu... inasaidia sana ukiwa mbali na kioo (TV)...kitufe cha senksi si mnakiona..... teh teh teh
 
Hamna noma bandugu... inasaidia sana ukiwa mbali na kioo (TV)...kitufe cha senksi si mnakiona..... teh teh teh
Kajiatachment kako kamepitwa na wakati Kampeni zilifungwa 30/10/10 na hako kalink si meweka ili watu waone matokeo? sasa inakuwaje matokeo na kampeni kwa wakati mmoja?
SLAA IKULU ATAISIKIA KWENYE BOMBA JK HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:yield:
UNAONAJE? UNTIL NOW HE IS LEADING OVER 69% MAY BE SLAA ATAITWA KUFAGIA IKULU, AH NO ARUDI KANISANI MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.:hippie:
 
Back
Top Bottom