Matokeo ya uchaguzi Congo kadri yanavyoendelea kutoka

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,675
6,945
Ni mwezi sasa imepita nikifuatilia Siasa,kampeni na uchaguzi wa DRC...

Siku ya jumapili raia wa DRC wamepiga kura isipokuwa katika majimbo matatu yaliyotangazwa hapo awali na tume ya uchaguzi Congo kutokana na kuwepo kwa mapigano,pamoja na uwepo wa ugonjwa wa ebola mashariki mwa nchi hiyo.

Siku zote hizo nilikuwa napata maoni ya watu mbalimbali kutoka huko kuhusu namna siasa inavyoendeshwa huko..

Matokeo ya jumla hadi sasa ni kama ifuatavyo:

Fayulu 66.5%
Félix tshisekedi 16.7%
Shadary 16.7%
Bureau numéro 3
Je suis observateurs à

Fayulu 199
Félix tshisekedi 16.7%
Shadary 16.7%
Office number 3
I am observers in .....

Chanzo hicho kimetabanaisha na kueleza kwamba nisiseme yuko office gani?.

Wananchi wengi wanategemea fayulu kuwa rais ajae..

Je,kabila atakubali ama la?

Nitaendelea kuwapa matokeo halisi kutoka kwa waangalizi kadri niyapatavyo...

Mungu bariki Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda akashinda japo vyama tawala hutumia mbinu nyingi (haramu /chafu) kubakia madarakani ila tuwaombee amani!
 
Ni mwezi sasa imepita nikifuatilia Siasa,kampeni na uchaguzi wa DRC...

Siku ya jumapili raia wa DRC wamepiga kura isipokuwa katika majimbo matatu yaliyotangazwa hapo awali na tume ya uchaguzi Congo kutokana na kuwepo kwa mapigano,pamoja na uwepo wa ugonjwa wa ebola mashariki mwa nchi hiyo.

Siku zote hizo nilikuwa napata maoni ya watu mbalimbali kutoka huko kuhusu namna siasa inavyoendeshwa huko..

Matokeo ya jumla hadi sasa ni kama ifuatavyo:

Fayulu 66.5%
Félix tshisekedi 16.7%
Shadary 16.7%
Bureau numéro 3
Je suis observateurs à

Fayulu 199
Félix tshisekedi 16.7%
Shadary 16.7%
Office number 3
I am observers in .....

Chanzo hicho kimetabanaisha na kueleza kwamba nisiseme yuko office gani?.

Wananchi wengi wanategemea fayulu kuwa rais ajae..

Je,kabila atakubali ama la?

Nitaendelea kuwapa matokeo halisi kutoka kwa waangalizi kadri niyapatavyo...

Mungu bariki Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kabila hajamchukua Jecha S Jecha na Lubuva!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni shabiki wake tu msiamini maneno yake. tupo hapa kinshasa mambo ni tofauti kabisaa hiyo mutu ni muongo shana
 
Back
Top Bottom