Matokeo ya ubunge Mtwara, Masasi, Manyoni na Tandahimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya ubunge Mtwara, Masasi, Manyoni na Tandahimba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Nov 2, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mtwara

  Ghasia amepata 37 elfu vs CUF16 Elfu


  Tandahimba CCM ELFU 34 VS CUF 33 elfu

  Masasi CCM ni elfu 28 vs 6,860 CUF

  Mengineyo
  MANYONI MASHARIKI

  7338 Lwanji CCM vs 6028 za bwana Donald

  Chiligati kashinda 28133

  Stay tuned for Tundu Lissu

  Source: STAR TV AT OO27 HRS EA TIME
   
 2. m

  mzee wa wazee Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na mchakatuo na kazi ngumu, CHADEMA mwahitaji pongezi
   
 3. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  MS atakumbukwa hapa
   
 4. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  vyovyote utakavyoita inaelekea chadema munakubali matokeo na huo ndio ukamavu wa kisiasa!!!! Tuigeni wenzenu cuf tumeshakubali kushindwa!! Na sasa tunajitayarisha kuhudhuria kuapishwa kwa rais wa zanzibar na muungano!!!
   
 5. M

  Mabeja Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wote wezi tu. Hakuna lolote pale. CHADEMA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee1!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Feel really sorry for ya (miss?)...What a country mate!

  Can't believe u've been here all the time defending our failure as a nation.A defeat to CHADEMA is a defeat to Tanzania as a nation.It something that if happens,we will shall regret for the rest of our lives.
  A country led with a low HQ president of Mr. Kikwete's calibre is a disgrace and a shame to it's citizens,raising a lot of questions on the state of mind of her citizens.

  I will stay ashamed as long as Kikwete Stays on Power.
  Dr. Slaa is my president.

  As for me and my family,I will follow Dr. Slaa.
   
 7. m

  msasa Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepata taarifa kuwa mbunge wa jimbo hilo katangazwa kimizengwe na mh mkuu wa wilaya, mpaka sasa hali si shwari nyumba na gari la huyo aliyetangazwa vimepigwa moto mtoto wa mkuu wa wilaya na mke wa mkurugenzi wametekwa. Wenye taarifa zaidi tujuzeni
   
 8. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeipata hii kupitia ITV, ni kweli kuwa vurugu kubwa zimeibuka mara baada uya kutangazwa matokeo, matokeo hayo yana tofauti kama ya kura 1000 hivi, hali kma hii imetokea shinyanga, kigoma.Kwa kweli CCM wezi na hulazimisha kurudi madarakani kabsaaaaaaaa, hii sio haki kabisa.
   
 9. m

  msasa Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  taarifa za uhakika ni kuwa askari kutoka mtwara na newala wanakwenda TANDAHIMBA kuongeza nguvu
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Wizi wa CCM na kuendelea kujikita madarakani bila ya ridhaa yetu lazime tupambane nao
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CCM hamuoni hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hao wapumbavu WALIOTEKWA wasiachiwe mpaka watoe matokeo sahahihi wanajifanya wamekunywa maji ya bendera ya kijani sio...hata Mwl JKN mwenyewe alishawahi kunena kuwa CCM sio baba wala mama....
   
 13. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  :israel:
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nasikia Nuymba ya mtu ishapigwa kiberiti uko Tandahimba
   
Loading...