Elections 2010 Matokeo ya ubunge - mchanganuo kijinsia please

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Naombeni tuchanganue tujue ni kiasi gani wanawake nao wamefanikiwa -bila kujali vyama:
List ni kama hii so far:
1. Dr Lucy Nkya - Morogoro.....
2. Halima Mdee - Kawe
3. Jenister Mhagama...

Tuendeleze tafadhali bila kuweka utani/kejeli .....

4. Hawa Ghasia - Mtwara Vijijini (Asante Gaijin kwa kuongezea kwenye list)
5. Zaitun Aggripina Buyogela- Kasulu Vijijni
6. Prof Anna Tibaijuka -
7. Mariam Kasembe -
 
Zaitun Agripina Buyogela (NCCR Mageuzi) Kasulu vijijini
 
Jenister Muhagama kashinda kwa kishindo huko Peramiho kama 90%
 
Big up kwa Zaitun Buyogela ...........kashinda kwa margin ya kuridhisha kabisa
 
Zaitun Aggripina Buyogela wa jimbo la Kasulu Vijijini Mkoa wa Kigoma
 
Back
Top Bottom