Matokeo ya std iv jamani mbona yamechelewa kiasi hiki? Prof. Ndalichako tusaidie

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Sasa shule zinafunguliwa wazazi tunawaandalia vitabu gani wakati matokeo bado?
Mbona hii wizara inarudi nyuma jamani?
Prof. Ndalichako unafanya kipi sasa?
 
aisee hapa kuna madogo wananisumbua sana kila siku wananiulizia kama yametoka, ya mwaka huu naona yamechelewa sana
 
Hayajatoka bado?Wewe jiandae tu siku hizi hakuna anayefeli STD.Sisi enzi zetu tukikuwa tunafaulu 1-2 kata nzima.
 
Form Two wanatakiwa waingie form 3, srd iv waingie std v. Na haya mambo yanatakiwa kuandaana vitabu na kisaikolojia pia. Nilidhani uwepo wa prof. utasaidia kujua umuhimu wa kutoa matokeo kwa wakati so that mzazi amuandae mtoto. Sijui hata vipaumbele vya wizara hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom