Matokeo ya Simba na URA yapoje?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Vipi matokea ya Simba ya Mavugo na watoza Ushuru wa Uganda(URA)?
 
Mnyama bhana kama anataka kumkwepa Yanga Vile ila tutaenda naye hata kwa fimbo
 
Anakwepeja thatha kama ndala alikula tano za USO Leo ndio amkwepe .
 
Jana URA hawakutumia technic ya offside trick nn walau refa awasaidie goli 1?
 
Mnyama bhana kama anataka kumkwepa Yanga Vile ila tutaenda naye hata kwa fimbo
Tuwakimbie kwa lipi? Kipindi hiki mumtafute Jecha achezeshe tofauti na hapo tutawanyoosha. Maana yule aliyewabeba kwenye ligi kwenye kombe la mapinduzi hayupo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom