Matokeo ya Serikali za mitaa na Urais mwakani

Chaimaharagwe

Senior Member
Oct 15, 2014
177
0
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambayo wameshatangazwa na maeneo mengne ambayo yanaendelea kusubiriwa kutoka maeneo ambayo hayajatangazwa mpaka sasa yameonesha watu kuendelea kukosa imani na chama tawala. Hii ni kutokana na kupoteza mitaa, vijiji na vitongoji lukuki ambavyo hapo awali vilikuwa vnatawaliwa na chama hcho. Kwa upande mwngne chaguo la wengi ktk kinyang'anyiro cha urais-ingawa hajatangaza nia, kutoka chama hcho hcho inaonekana ipo kwa mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, ambaye jimboni kwake Chama cha Mapinduzi kimeongoza pia kwa kushnda vijiji na mitaa mingi.
Je, hii inatoa taswira gan kwa awamu ijayo ya urais nchini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom