Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,200 820 Jan 2, 2013 #321 Kwani hesabu hii imetofautiana na projection ya sensa iliyopita-au ni uharibifu wa rasilimali za taifa? Watu tuna kazana kuzaana kama hatuna akili nzuri, hivi watu wa project wa uzazi wa mpango wamefanikiwa kwa lipi-au wanakula posho za bure tu?
Kwani hesabu hii imetofautiana na projection ya sensa iliyopita-au ni uharibifu wa rasilimali za taifa? Watu tuna kazana kuzaana kama hatuna akili nzuri, hivi watu wa project wa uzazi wa mpango wamefanikiwa kwa lipi-au wanakula posho za bure tu?