Matokeo ya rufaa Kidato cha Sita 2020: Hakuna grade iliyobadilika

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,955
Wadau angalieni matokeo ya rufaa kidato cha sita 2020. Hakuna liyeweza kubdili grade ya mwanzo.

Swali la haja: Kama kuna mwenye kujua hizi rufaa zinakuwa handled vipi i.e aliyeomba rufaa anashirikishwaje katika rufaa anayokata wakati wanarudia kusahihisha?

Anakuwa na mwakilishi/au yeye kushiriki kikao cha kusahihisha? na akaridhia kuwa kweli sikuandika majibu sahihi?
 

Attachments

  • MATOKEO_YA_RUFAA_ACSEE_2020_I.pdf
    75.2 KB · Views: 8
Siku zote rufani za matokeo ya NECTA kidato cha sita hayajawahi kubadilika, rejea matokeo ya nyuma.

Wanakula hela zetu tu, hawatushirikishi.
 
Siku zote rufani za matokeo ya NECTA kidato cha sita hayajawahi kubadilika, rejea matokeo ya nyuma.

Wanakula hela zetu tu, hawatushirikishi.
Ni kiasi gani ?kuna mtu anataka rufaa ya matokeo ya form 4 yaliyotoka sasa hv,na jee inachukua muda gani
 
Ile ni biashara kama biashara zingine , mm walikulaga hela yangu Hadi Leo inaniumaga, bora wangetoa kanisa iyo option isiwepo kweny mfumo kuliko Kula hela za watu
 
Back
Top Bottom