MATOKEO YA RUFAA CSEE 2017.

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
203
Habari zenu wana jf.
Leo nimeamua kulileta hili suala mbele yenu. Ni kuhusu matokeo ya rufaa kwa ujumla bila kujali ni ya mwaka gani, Matokeo ya rufaa karibu ya miaka yote sijawahi ona mtu aliye faulu. Yaani unakuta mtu alitaka afanyiwe rufaa kwa masomo matano ambayo yote alipata F, but matokeo hayabadiliki kabisaa unaweza kukuta somo moja tu ndilo limebadilika tena si lwa interval kubwa. Mfano alipata F baada ya rufaa akapata D.
Je, ni kweli hao wanaosahihisha mitihani kwa ajili ya rufaa wapo makini??
But end of all nashauri wanafunzi kukubali matokeo sahihi wanayopata.
Matokeo ya rufaa ya mwaka huu hakuna hata mmoja ambaye angalau hata somo moja limebadilika.
 

Attachments

  • KITABU RUFAA AWAMU YA I-CSEE 2017.pdf
    106.2 KB · Views: 48
Hata ungekuwa wewe,ile pepa isahihishwe upya upate marks ya juu ili wao watumbuliwe !!
 
Back
Top Bottom